think3r91
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 469
- 209
Ukiwa na uume mdogo ambao hausababishi michubuko halafu ukawahi kuuosha baada ya kugegedua, unaweza ukasalimika.
Again this is not practical. . Its just a myth
Ukiwa na uume mdogo ambao hausababishi michubuko halafu ukawahi kuuosha baada ya kugegedua, unaweza ukasalimika.
Manii hazina VVU ndio maana utaona mama ana HIV baba hana na wanasex bila condom ili wapate mtoto na baba hapati HIV kinachotakiwa ni kujua siku ya hatari kwa mwanamke na maandalizi yawe ya kutosha
Well said... ulifuatilia ile documentary ya yule daktari aliyabatiza hii kitu...
Ndio mkuu,yaani sikubakisha kitu,documentary zote zinazohusu mambo haya nimezifuatila kwa undani kabisa tena karibu mara sita sita kila moja.Hakuna documentary nilibakisha.Pia scientific papers mbalimbali nimefuatilia na nimefanya tafiti mbalimbali clinic za watu wanaotumia ARVs na nimefuatilia pia watu wanaotumia ARVs walio kwenye hatua za mwisho/yaani wenye hali mbaya zaidi kiafya...
Ndiyo inawezekana kulala na mwenye VVU na usivipate. Ni vizuri ufahamu kwamba kwa kila tendo la ndoa linalofanywa, hatari ya kuambukizwa UKIMWI ipo kwa asilimia 2 tu. Hivyo uwezekano wa kuambukizwa ukimwi si asilimia 100, kiasi cha mtu kudhani kwamba akigusa tu, basi amepata. Lakini kwa mwanaume aliyetahiri asilimia hiyo mbili inapungua tena kwa asilimia 60. Piga hesabu ya asilimia zinazobaki baada ya kutoa asilimia 60 za asilimia 2. Hivyo kwa aliyetahiri, anaweza kuwa kwenye hatari ya maambukizo kwa asilimia labda 0.8. Kwa kusema hivi simaanishi kwamba sasa mjiachie tu na kwenda peku.
mdau kuna kitu kina kosekana flani ivi apa dah mmmmh narudia kusoma mara mbili mbili lakin daah mmmh tuelimishe vizur bna tuku elewe.?
Anzisha thread kila mtu aione na kuchangia chochote with references bro
Possibly kuna kitu kizuri ulitaka kuelezea lakini umeshindwa namna ya ku-present...
mdau kuna kitu kina kosekana flani ivi apa dah mmmmh narudia kusoma mara mbili mbili lakin daah mmmh tuelimishe vizur bna tuku elewe.?