Usingizi umekata Mkuu,ila shukrani kwa point yakoInawezekana.
Ila ukishaipata utaifanyia nini?... Huo mda unaotumia kusoma kwa ajili ya kutafuta 5.0 GPA,ungetumia kusoma + kuthubutu biashara ndogo ya kuanza nayo au kusoma + kutengeza network ya watu watakaokusaidia.
Hakuna ajira,hivyo msiweke nguvu nyingi kwenye GPA,mwisho wa siku una 5.0 GPA unaishia kuwa bodaboda.
Usingizi umekugomea mkuu?
Acha kumkatisha tamaa, usiwe unaongea ilimradi umeongea na isitoshe kuna ajira hususani zinazotangazwa serikalini huwa zinatangazwa with a set of GPA limits first or upper second as pre qualifications entrance......Inawezekana.
Ila ukishaipata utaifanyia nini?... Huo mda unaotumia kusoma kwa ajili ya kutafuta 5.0 GPA,ungetumia kusoma + kuthubutu biashara ndogo ya kuanza nayo au kusoma + kutengeza network ya watu watakaokusaidia.
Hakuna ajira,hivyo msiweke nguvu nyingi kwenye GPA,mwisho wa siku una 5.0 GPA unaishia kuwa bodaboda.
Usingizi umekugomea mkuu?
Mkuu we nenda unyooshe msuli uipate hiyo GPA ya 5.0 kwanza. Masuala ya ajira na kutoka hayo ni mbele ya safari Mungu atatengeneza mwenyewe. Kipindi sisi tunasoma wale waliokuwa na good grades chuo walipata kazi fasta sana hasa kwenye auditing firms mara tu tulipomaliza chuo. Asikuambie mtu mkuu, kazi hakuna lakini kuna kazi selective ambazo wanachukua creme ya briliant guys kama wewe (utakapopata hiyo grade).Yes inawezekana lakin itabidi upige msuli heavy sana. Ujitoe kweli kweli.
Lakin pia ukiipata what next kwenye suala la ajira? Shida ndio inapoanzia hapo
Man mm nilisha pita huko kitambo. Niko kazin kwa sasa. Na GPA niliopata ilikuwa first classs japo kuwa sikufika 5.0Mkuu we nenda unyooshe msuli uipate hiyo GPA ya 5.0 kwanza. Masuala ya ajira na kutoka hayo ni mbele ya safari Mungu atatengeneza mwenyewe. Kipindi sisi tunasoma wale waliokuwa na good grades chuo walipata kazi fasta sana hasa kwenye auditing firms mara tu tulipomaliza chuo. Asikuambie mtu mkuu, kazi hakuna lakini kuna kazi selective ambazo wanachukua creme ya briliant guys kama wewe (utakapopata hiyo grade).
Kajinyooshe mkuu yote yanawezekana.
Kajitume kamanda. Kila la kheri.
Hiyo gpa ilipatikana mwaka jana kwa best student wa udom MDHabarini wanajamvi,
Je inawezekana kupata GPA tajwa hapo juu, na ukitoa mfano hai itapendeza,karibuñi (kwa level ya chuo kikuu)
Yaah umeongea ukweli mtupu kaka, na kweli una kumbukumbuHiyo gpa ilipatikana mwaka jana kwa best student wa udom MD
Sorry hio Md una maanisha medicine au....??Hiyo gpa ilipatikana mwaka jana kwa best student wa udom MD
Dogo pambana na ujasiriamali,baba ubaya hataki wasomi, hyo gpa unaweza ukaipata lkn kwa awamu hii utakuwa hauna cha kuifanyia, labda awamu ikibadilika na upepo ukachange. 2015-now wahitimu wamekusanyika tu.Habarini wanajamvi,
Je inawezekana kupata GPA tajwa hapo juu, na ukitoa mfano hai itapendeza,karibuñi (kwa level ya chuo kikuu)
Aisee dogo mtoa post fanyia kazi hii comment, usiipuuze, yajayoo yanafurahishaaaInawezekana.
Ila ukishaipata utaifanyia nini?... Huo mda unaotumia kusoma kwa ajili ya kutafuta 5.0 GPA,ungetumia kusoma + kuthubutu biashara ndogo ya kuanza nayo au kusoma + kutengeza network ya watu watakaokusaidia.
Hakuna ajira,hivyo msiweke nguvu nyingi kwenye GPA,mwisho wa siku una 5.0 GPA unaishia kuwa bodaboda.
Usingizi umekugomea mkuu?
Ushauri mzr ingawa pia inategemea na kwamba anasomea nn, isije ikawa ni kina sosholoji, law, baed nk. Kama ni mambo ya engineering, architecture nk hpo fursa zipoMkuu we nenda unyooshe msuli uipate hiyo GPA ya 5.0 kwanza. Masuala ya ajira na kutoka hayo ni mbele ya safari Mungu atatengeneza mwenyewe. Kipindi sisi tunasoma wale waliokuwa na good grades chuo walipata kazi fasta sana hasa kwenye auditing firms mara tu tulipomaliza chuo. Asikuambie mtu mkuu, kazi hakuna lakini kuna kazi selective ambazo wanachukua creme ya briliant guys kama wewe (utakapopata hiyo grade).
Kajinyooshe mkuu yote yanawezekana.
Kajitume kamanda. Kila la kheri.