Sio kweli kwamba GPA ya 5 mpaka ule 100% totally wrongNa huwezi pata 100% masomo yote...
Kuna kipindi nikiwa mwaka wa pili nilikomaa kweeeli nikaishia 4.01!! Ningekua udsm ningekua na 4.8 or something close to that!!

UDSM do you think it is that easy?Na huwezi pata 100% masomo yote...
Kuna kipindi nikiwa mwaka wa pili nilikomaa kweeeli nikaishia 4.01!! Ningekua udsm ningekua na 4.8 or something close to that!!
Habarini wanajamvi,
Je inawezekana kupata GPA tajwa hapo juu, na ukitoa mfano hai itapendeza,karibuñi (kwa level ya chuo kikuu)
Jitathmini tu UWEZO wako mambo mengine ni for privileged few. Wewe kama UWEZO wako sio wa kupata hiyo utatumia nguvu nyingi sana na muda mwingi sana still usipate.Habarini wanajamvi,
Je inawezekana kupata GPA tajwa hapo juu, na ukitoa mfano hai itapendeza,karibuñi (kwa level ya chuo kikuu)
Mkuu we nenda unyooshe msuli uipate hiyo GPA ya 5.0 kwanza. Masuala ya ajira na kutoka hayo ni mbele ya safari Mungu atatengeneza mwenyewe. Kipindi sisi tunasoma wale waliokuwa na good grades chuo walipata kazi fasta sana hasa kwenye auditing firms mara tu tulipomaliza chuo. Asikuambie mtu mkuu, kazi hakuna lakini kuna kazi selective ambazo wanachukua creme ya briliant guys kama wewe (utakapopata hiyo grade).
Kajinyooshe mkuu yote yanawezekana.
Kajitume kamanda. Kila la kheri.
Umeelewa lakini mkuu walikoanzia hadi kufika hapo?Sio kweli kwamba GPA ya 5 mpaka ule 100% totally wrong
Kha?mwanaume kupata G.P.A juu ya 2.7 ni woga wa maisha
WordUshauri mzr ingawa pia inategemea na kwamba anasomea nn, isije ikawa ni kina sosholoji, law, baed nk. Kama ni mambo ya engineering, architecture nk hpo fursa zipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unaweza ikiwa mitihani unajitungia mwenyewe.
TUMAINI vs UDSMina wezekana Kwa baadhi ya cozi na Kwa baadhi ya vyuo
unaweza pata 5.0 Kwa chuo A ila mwenzako wa chuo B akawa na 4.6 ila ww mwenye 5.0 ukaonekana hauna kitu kutokana na chuo ulichosoma
hahahaaaaaaaa unautani na vyuo vya watu mkuuTUMAINI vs UDSM
Kasome comment #24 utaelewa nilimaanisha nini.Sio kweli kwamba GPA ya 5 mpaka ule 100% totally wrong
Sio lazima ajira, GPA nzuri ni sifa.Yes inawezekana lakin itabidi upige msuli heavy sana. Ujitoe kweli kweli.
Lakin pia ukiipata what next kwenye suala la ajira? Shida ndio inapoanzia hapo