Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,402
- 5,527
Mkuu, kwani Inverter inabadili umeme kutoka AC to DC au DC to AC..?Naam utahitaji inverter kubadilisha AC to DC ambayo ndio inaweza kutunzwa kwenye battery... Ila kumbuka hivi conversion unapoteza nishati...; Kwa ushauri kama ni Taa n.k. nunua Taa zinazotumia DC kama back-up umeme ukirudi utaendelea na vifaa vyako vingine....