Je, inawezekana kuchaji battery za solar kwa umeme wa Tanesco?

Mr.panya

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
248
274
Wakuu habari, ninapoishi umeme upo vizuri tu sema unakatika baadhi ya muda kwahiyo nahitaji backup system lkn sitaki kuingia gharama ya kununua solar panel nataka ninunue battery za solar, charge controller na inverter hapo nakuwa natumia umeme wa kawaida wa Tanesco kuchaji battery za sola.

Umeme ukikatika nitumie battery kupower accessory zangu na umeme ukirudi nichaji battery yani kiufupi ni kama power bank. Je huu mfumo unawezekana au una mapungufu gani?

Kama inawezekana niwe na battery yenye Ah ngapi Vitu ninavyohitaji kutumia umeme ukikatika ni feni, taa moja, kuchaji simu na desktop pc
 
Wakuu habari, ninapoishi umeme upo vizuri tu sema unakatika baadhi ya muda kwahy nahitaji backup system lkn sitaki kuingia gharama ya kununua solar panel nataka ninunue battery za solar, charge controller na inverter hapo nakua natumia umeme wa kawaida wa Tanesco kuchaji battery za sola.

Umeme ukikatika nitumie battery kupower accessory zangu na umeme ukirudi nichaji battery yani kiufupi ni kama power bank. Je huu mfumo unawezekana au una mapungufu gani?

Kama inawezekana niwe na battery yenye Ah ngapi Vitu ninavyohitaji kutumia umeme ukikatika ni feni, taa moja, kuchaji simu na desktop pc
Yeah possible.

Time usage? Like fan 4 hrs, taa 2 hrs, pc 1 hrs, etc
 
Mkuu inawezekana kabisa hata mimi natumia hivyo,nina battery 150Ah na inveter ambayo ina chaji battery umeme ukiwepo inajaza tena full kabisa,umeme ukikata kuna switch nabonyeza tu kwenye hyo hyo inverter naendelea kula maisha na smart tv inch 40..inverter nimenunua 50k ila kwa mjini nina uhakika haizidi 30k
 
Mkuu inatumia muda gani kujaa
 
Time rating ni kitu gani mkuu
Betr za sola huwa znachajiwa kwa nguvu ya jua specifically.....so kwa sababu ya weather conditions za eneo flan huwa kuna variation of power in put....sasa inapokuja swala la kuchaj kwa umeme wa kawaida huwez kuchaj sku zma maana moto unaingia mfululizoo kwa kiwangoo sawa...kwa kifup mfano N50 unachaj masaa 4-5 uwe umetoa kwenye moto..
 
Mkuu inawezekana kabisa hata mimi natumia hivyo,nina battery 150Ah na inveter ambayo ina chaji battery umeme ukiwepo inajaza tena full kabisa,umeme ukikata kuna switch nabonyeza tu kwenye hyo hyo inverter naendelea kula maisha na smart tv inch 40..inverter nimenunua 50k ila kwa mjini nina uhakika haizidi 30k
Baada ya kuchaji mpaka inaisha kwa tv inachukua muda gani
 
Betr za sola huwa znachajiwa kwa nguvu ya jua specifically.....so kwa sababu ya weather conditions za eneo flan huwa kuna variation of power in put....sasa inapokuja swala la kuchaj kwa umeme wa kawaida huwez kuchaj sku zma maana moto unaingia mfululizoo kwa kiwangoo sawa...kwa kifup mfano N50 unachaj masaa 4-5 uwe umetoa kwenye moto..
Si kuna charger controller itakua inadisconnect battery ikishajaa
 
Back
Top Bottom