Diallo genius
Member
- Sep 11, 2017
- 80
- 64
Nina matumaini wote ni wazima humu ndani, naomba kuuliza hivi kwa mfano mtu amesomea ualimu na baadae akataka labda kuwa mphamasia inawezekana akaenda kusomea ufamasia?
Hivyo akawa na taaluma mbili yaani mwalimu kisha mfamasia au atalazimika kufuta taaluma moja wapo?
Hivyo akawa na taaluma mbili yaani mwalimu kisha mfamasia au atalazimika kufuta taaluma moja wapo?