Je, inafaa kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu?

mi dada yangu anaurefu km happiness /millar magese af mumuwe yu km urefu wa kanumba wanaish poa na kufurahia maisha wanaongozana km kawa...so ikimaanisha upendo ndo kila kitu...urefu/ufup n vya nyongeza tu
 
kaka we oa tu urefu co ishu.mi mwenyewe mfupi na nawakoboa ile mbaya na wenyewe wanashangaa ujasiri naupata wap wa kuwapakua hvyo.
 
Kwanini yeye hujisikia vibaya kutembea nawe kwakuwa anakuzidi urefu?Kinyume chake, kama umeridhika na yeye anajisikia poa fanyeni fasta watu wale mpunga!
 
labda kama kule kwenye k angesema ndio amezidi urefu, ila kama ni kimo tu, usipate shida...sio tatizo, pamoja na kwamba utajisikia vibaya mkienda kwenye sherehe, wakati wa kutambulishana, wanadamu wengine huwa wanaona kama si kitu cha kawaida, hivyo nyie mtakuwa kicheko mara nyingi watu wakiwaona mko pamoja, hasa mkisimama...hahaha. mkiwa kwenye sherehe wakati wa kucheza muziki, pia wakati wa kuduuu kama ameinama kama anachuma mboga itabidi uweka kastuli, na huwezi sana kudo mkiangaliana uso kwa uso mkisimama wima, utakachofanya hapo ni milalo tu, nayo si yote, na hapo hatujii makalio yake makubwa kiasi gani...kisijekuwa kituko.

naongea kwa uzoefu wangu wa kuduuu na wanawake warefu walionizidi mara nyingi, ni watamu sana hasa kama hajazaa, awe mwembamba na makalio yake yasiwe makubwaaa....hapo vipi?
 
Acha kuchanganya madawa,
We si umesema ana sifa zote unazozitaka?
Ikiwemo hiyo ya urefu ndio maana ukam-select????sasa unatuhoji nini tena mkuu?
Au unamaanisha "urefu wa sketi v/s urefu wa suruali?"

namimi ndio namshangaa huyu jamaa... Ye mwenyewe kasema anasifa zote anazozitaka alafu tena anatoa kasoro inamana tayar hana cfa unazozitaka. JIPANGE.
 
nimepata gf ambaye tunapendana sana tu. ana sifa ninazozitaka kuwa mke wangu, lakin nikitembea nae njiani najisikia inferior coz mie mfupi af yeye mrefu. niendelee nae au nitafte mfupi mwenzangu. (honestly I love her tatizo ni urefu tulopishana tu)

Tafuta shorty mwenzako, dwarf wee like Pare hutafaa kuoa tall gal, na ukweli ni kuwa wanawake wengi labda na huyo wako though hakwambii, hawapendi wanaume shortyy, minimum height ulingane nae, otherwise a man must be taller kuliko woman, ITAPENDEZAA & kuvutia, tafuta mwingine, tuachie sisi
 
Wanawake wengi wanawakubali ni kwasababu hakuna jinsi...watakuwaje na confidence sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom