Je huyu ni mmoja ya wasiojulikana?

Je huyu ni mmoja ya wasiojulikana?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,103
Reaction score
9,588
Askari huyu anapatikana mkoani Geita maeneo ya Katoro.

Askari huyu ana rasta, kimuonekano tu anatumia vitu vikali.

Juzi wamemnyakua huyo mwenyekiti wa wachimbajji wadogo wadogo hapo Geita.

Huyu na wenzake wakija kukuchukua usiku wanakupoteza bila shida yoyote kwa muonekano tu na roho yake ilivyo.

Bila shaka anaweza kuwa ni mmoja ya wale wanaoitwa “Wasiojulikana”

IMG_9006.png
IMG_9008.png
IMG_9007.png
 
View attachment 3537829View attachment 3537830View attachment 3537831
Huyu ni mmojawapo
 
Back
Top Bottom