Je huyu ni katibu mkuu wa wizara gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je huyu ni katibu mkuu wa wizara gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by othorong'ong'o, Mar 29, 2011.

 1. o

  othorong'ong'o Senior Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Naangalia Tv channel ten kipindi cha Je tutafika,mjadala unahusu migogoro ndani ya ccm,sasa Dr. Kitine ktk mjadala ametaja kuwa kuna katibu mkuu ambaye kila mtu anamjua ni Mwizi lakini bado kapewa kitengo na rais,je ni nani huyu
   
 2. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nimemskia tusubiri michango ya wana JF.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Tafuta kuna ka thread kalikua kana ripoti yote ila Makwaiya amemkatiza huyu Dingi...kidogo tu angemtaja jina!!! nimemchukia Makwaiya kwa hili
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  atakuwa ktkk wizara nyeti, kati ya hizi,
  Mali Asili
  nishati na madini
  Fedha
  Miundombinu/uchukuzi
  Tamisemi
  mh,kufikiria tena,it could be in anyministry kwani kila katibu mkuu ana kamchongo kake ka kula kia aina aina,
   
 5. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mmmhhh, nami naendelea kukuna kichwa nijue ni katibu mkuu gani aliyetajwa.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ongezeeni na afya
   
 7. S

  Songasonga Senior Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu kitine ni Yule aliejiuzuru?
   
Loading...