n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,543
- 7,272
Mtu huyo itakuwa ni wewe, unamsingizia rafiki yako. Kuwa mkweli.Jamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.
Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.
Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.
Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.
Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.
Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Sasa hapo mbona majibu yapo wazi!!?kabisa,Swala lahisi kama hili linakushinda vipi kuamua??,na tekinolojia yote iliyopo leo,unashindwaje kufanya uamuzi kwenye jambo simple kama hili?Jamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.
Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.
Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.
Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.
Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.
Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Jamaa ni mbinafsi wala sio hata ubahili. Ni mchoyo tu haiwezekani una hela usitumie na mpenzi wako jamani. Demu anafanya kazi wapi?Jamaa amesoma na ana masters ila ni mjasiliamali, ana hela ndogo kuliko mdada, ila anahudumia familia yake vizuri, mamake na dadake hawakosi kodi na kula yeye ndio anasimamia shoo ila kwa demu wake hata kitunguu hajawahi kupeleka ila akienda lazima aulize kumepikwa nini?
Mapenzi hua ni ya muda mrefu, ila ndoa hutokea tu ghafla, kama ni mtu mwingine au ni huyo huyo bwana, mala zote mipango mingi huishia njiani, acha mambo yaende na ikifika mahala ni sehemu sahihi itakua, iwe ni kwa huyo huyo bwana au mtu mwingine, swala hua ni upendo basi, na hii wanawake wengi hukosea kusema muda unakwenda anachelewa kuzaa, anaweza akaenda sehemu isiyo sahihi Kwa kigezo Cha kuwahi kuzaa na kua kwenye ndoa na akaja kujuta tu, isipokua kama hata na huyo jamaa bado anaishi kwao maana yake hawa unawaongelea ni watoto watoto, mwanaume anadanganya nyumbani kua yupo shift ya usiku? Mwanaume anakaa kwake na ana maamuzi yake, huyu ni mtoto wa kiume na si MWANAUMEJamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.
Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.
Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.
Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.
Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.
Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Jamani habari zenu,

Na ukute kuna jamaa ana mpenda demu na ama malengo nae na demu ana mlia tu pesa zake na penzi hapewi.Ndio raha ya kupendwa hio huombwi hata mia then you monopolize that piece of cupkake, nobody hits it but you! [emoji2][emoji2][emoji2]
Hahahaha hilo ni uhakika kabisa, demu anampenda mshikaji ila mwamba hayuko serious.Na ukute kuna jamaa ana mpenda demu na ama malengo nae na demu ana mlia tu pesa zake na penzi hapewi.
Hahaharaha sana , papuchi ya bure, unapewa pesa, unalala bure
kula vya mwanamke ni tamu ilioje
what a luckiest son of a b. on the planet
Ana date na last born😁Jamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.
Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.
Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.
Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.
Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.
Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.
Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.
Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Naomba namba yake aisee, mi natafta mke mvumilivu kama huyo atanifaa sana
Nipatie namba yake tafadhali Mungu ni mwema siku zote
Hahaha umeua APA inabaki kukuogesha bcraha sana , papuchi ya bure, unapewa pesa, unalala bure
kula vya mwanamke ni tamu ilioje
what a luckiest son of a b. on the planet
Akikutumia Naomba nitumie na Mimi nijaribu bahati yangu.
Dah kwanini asitume picha yake kwanza. Wasifu atapata tuTuma wasifu wako na picha nimpe, akikubali nakupa namba
Nakazia hapaasitume picha yake kwanza
serious ila pia nahitaji nayeye awe serious juu ya hilo. No hide and seek games. Nipe details zake DM akiwa kanyooka ndoa kwa DC chap mambo yasiwe mengi.Kama upo serious tuma wasifu wako dm nimtumie akikubali nakupa namba
yy na jamaa yake bado watoto waendelee kucheza tuJamani habari zenu,