Je, huyu mwanamke ameniroga?

Je, huyu mwanamke ameniroga?

Ahaaaaa kipozeo 15. Pole yanayokukuta kuna mke wa ndoa fulani alikuwa akifanyiwa hivi na mchepuko wa mme wake na alinambia tatizo liliisha sijui walifanyaje? Embu muulize mama yako au shangazi yako wenda kuna kitu
 
We ushachotwa mchanga wa nyao zako na kunyolewa mavuz na mnyiramba wako.

Mmh kaka nahis kitu .

Amekuwa akininyoa mavuzi

Hata juzi kafanya hivo na huyatia katika Rambo ..

Unanifungua akili sasa
 
Ahaaaaa kipozeo 15. Pole yanayokukuta kuna mke wa ndoa fulani alikuwa akifanyiwa hivi na mchepuko wa mme wake na alinambia tatizo liliisha sijui walifanyaje? Embu muulize mama yako au shangazi yako wenda kuna kitu

Sawa kaka maana huwa ananiambia kuna familia za kuchezea ila sio yao

Ana maneno flan hivi ambayo huwa siyaelewi
 
Mchepuko? Kwani huyo Mnyiramba wako ni nini haswa kama hujamwoa?
Dawa yako hiyo!
 
Mimi Nina mpenzi wangu naishi nae .. Ni mwaka sasa...tatizo lililonileta kwenu ni hivi Mimi sio mzoefu na wanawake....huyu ndio mwanake wa kwwnza kufanya nae sex

Ni mnyiramba, hivi karibuni nilipata mchepuko nikaenda kusex nao...cha ajabu jogoo akagoma kusimama.Mchepuko ukajitahidi kunifanyia romance lakini wapi, ukaleta supu ya mkia wa ng'ombe nikanywa wapi, hivo nikaondoka empty, huku nikihuzunika nikahisi labda uchovu, lakini nikirudi kwa huyu mpenzi wangu mnyiramba, jogoo anasimama nyuzi 90, napiga hadi bao 3.

Haikukomea hapo nikapata michepuko mingine kama Minne hali ni ile ile, hata nijiandae kwa vyakula gani, na nifanyiwe romance vipi, Jogoo hasimami.

Ila nikirudi tu kwa huyu mnyiramba wangu au cheupe dawa wangu napiga mzigo hadi anaomba poo, japo Mimi na miaka 22 yeye 24.

Jana jumamos nikapata mchepuko. Mwingine nikaenda nao gest maeneo ya tip top. Ni mzuri kila kitu, kilichotokea sikuamini, jogoo akagoma kusimama, before nilikunywa supu ya kongoro plus dona na maharagwe, nikaishia kumtia nyege, mtoto akanilaumu sana nikaona nimpoze na 15000, Mimi huyo kucheki game ya man utd na Norwich.

Jion nimerud kwa mpenzi wangu au cheupe wangu, jogoo kasimama nyuzi 90 nimekula mzigo nimeamka SAA 3 asubuhi hoi.

Maswali yangu kwenu wana MMU:-

Je huyu Dada Mnyiramba ananifanyia ushirikina?

Je kuna sababu nyingine zinazosababisha hii hali nje ya ushirikina?

Nakushauri siku nyingine ukichukua mchepuko mkivua anza nae t omance kwanza na mwambie akutie kidole cha mkundu mboo itasimama balaa na utakula mzigo bal
 
Nakushauri siku nyingine ukichukua mchepuko mkivua anza nae t omance kwanza na mwambie akutie kidole cha mkundu mboo itasimama balaa na utakula mzigo bal

Duh kutiwa dole hapana

Ila nimejaribu njia nyingi wapi

Nilikutana na mzaramo aminifanyia ujinga wote ...lkn wapi jogoo akagoma ...

Akaniambia akienda kimanzi chana kuna miti ya milonge ataniletea akijua na upungufu wa nguvu za kiume..

Huwez kuamini usiku wake Nilivyorud kwa mnyiramba nilipiga bao 3 za maana..

Ndipo nilipoanza kuhisi kitu nachezewa
 
Tatizo lako ni kwamba unampenda kupita kiasi na yeye anakuridhisha sana! Kilicho haribu ni huo mchepuko wa kwanza joogoo liliposhindwa kuwika tu ubongo ukajenga hali ya uoga( inferiority complex) pole sana sijui kama huwa unakunywa Pombe? Ningejua hilo ningalishauri tofauti! Don't give up Ila mchepuko siyo dili!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom