Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 679
- 419
Shida ni mtoto au pesa?
Hivi wema ni wa singida au mama yake ndo wasingida, wema baba yake ni mnyamwezi. Mbona huwa mnakataa mkiambiwa Mh. Nape ni wasingida? Wakati mama yake Nape naye ni wasingidaIcho kidada cha singida kina penda mechi ya masaa 3+ sasa icho kibabu CK sijui kilitegemea nini ? Vitu vingine bwanaa
Wadada wa singida mmewakilishwa kilio chenu na ndugu yenu
Alijichimbia sehemu akaibuka na kiuno cha nyigu na wembamba kama sindano. Hongera zake.Mimi ningekuwa yeye najiadaptia zangu mtoto maisha yanaenda.
Sema shida inakuja kaweka maisha yake public kupitiliza hivo itakuwa ngumu kwa huyo mtoto na kwake pia mana watanzania tunajijua kuzaa asizae wema tunateseka sisi.
Akajichimbie sehemu hata three years akiibuka anakuja na mtoto halafu hasemi chochote anawaacha tu wajitaftie majibu wenyew na anakuwa serious na ujinga anaacha analea familia huku mbele Mungu akimjaalia wa kuzaa mwenyew maisha yanaenda asipopata tayari anaye.
Ndio alichoona cha maana kwa wakati huo.Alijichimbia sehemu akaibuka na kiuno cha nyigu na wembamba kama sindano. Hongera zake.
Kabisa mkuu. Na ukiongeza masaa ya kukaa nae tatizo linaweza kuwa kubwa zaidi au la moja kwa moja.Hahahahahah, maana unapata msongo wa mawazo hapo hapo...😂😂
Yaani unajikamua wee mpaka nguvu zinakwisha yeye ndo kwanza kanakwambia mbona haunitendei haki yangu my?,.Kuna baadhi ya wanawake ni ngumu sana kuwa na nguvu za kiume ukiwa nae.