Je, huwa unasali kabla ya kula chakula?

Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
73,812
225,600
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula, wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele. Umenunua mafuta. Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga. Umenunua mafuta. Umenunua nyama/mboga za majani. Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake. Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke. Wengine kafara, Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula. Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa. Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani. Je unasali kabla ya kula? Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae; Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia. Take a minute to pray. Hata ikiwa jikoni unapika. Anza kutakasa chakula. Ombea vitunguu, mafuta, nyanya, karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula, kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu, kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
 
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula,wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele,
Umenunua mafuta,
Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga,
Umenunua mafuta,
Umenunua nyama/mboga za majani,
Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake.
Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke,
Wengine kafara,
Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula.
Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa.
Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani..
Je unasali kabla ya kula?
Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae;
Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia,,
Take a minute to pray.
Hata ikiwa jikoni unapika,Anza kutakasa chakula,
Ombea vitunguu,mafuta,nyanya ,karoti nk.

Tuombe Mungu abariki chakula,kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu,kisilete madhara mabaya.

Umenena vema, ubarikiwe.
 
Sio kuondoa mambo mabaya tu,bali kushukuru pia kwa riziki Uloipata maana kuna wengine wanakufa kwa njaa,wengine siku tatu hajui ale nini

Nachukizwa na mtu asie na utaratibu wa kushukuru.akishika tu shahani unasikia sauti vijiko vinagongana na meno.
 
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula,wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele,
Umenunua mafuta,
Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga,
Umenunua mafuta,
Umenunua nyama/mboga za majani,
Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake.
Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke,
Wengine kafara,
Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula.
Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa.
Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani..
Je unasali kabla ya kula?
Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae;
Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia,,
Take a minute to pray.
Hata ikiwa jikoni unapika,Anza kutakasa chakula,
Ombea vitunguu,mafuta,nyanya ,karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula,kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu,kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
KUPATA HELA KIDOGO Ushaanza kuita wakulima wachafu,vyakula vichafu jiangalie wew maisha Yana UP and DOWN😅
 
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula, wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele. Umenunua mafuta. Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga. Umenunua mafuta. Umenunua nyama/mboga za majani. Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake. Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke. Wengine kafara, Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula. Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa. Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani. Je unasali kabla ya kula?
Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae;
Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia. Take a minute to pray.
Hata ikiwa jikoni unapika. Anza kutakasa chakula. Ombea vitunguu, mafuta, nyanya, karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula, kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu, kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
Hii kiafya ina faida gani?
 
Aisee kipindi nikiwa home vitu vingi tunavyovila vilikua vinapatikana katika mazingira ya nyumbani maana tunavilima wenyewe ila tulikua tunasali lkn siku hz nanunua kila kitu ila siombeagi🤔🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom