"Mungu bariki chakula hiki tupate nguvu ya kukutumikia vema. Amen"
Mapanga shah...
Personaly, one day nlitafakari hili suala. Nkaona tunafanya ile.sala kwa mazoea tu.
Lakini nkaona umuhim wa kuifanya sala ile kwa shukrani kubwa kytoka moyoni maana sio kwa nguvu zetu bali n kwa rehema tu.
NB: Hua sipendi wale watu wanakula lets say mgahawani au hata smtyms majumbani, alaf wanaeka uchafu chini (mezani n.k).
I always feel bad kwakua sioni kama n heshma lets say waiter akuje aanze kukusanya uchafu wako uliotoa mdomoni ukauacha hapo mezani. Hata yeye n binadam na ana kinyaa pia. Plus, hata kama n kazi yake, utu ni muhim. N vyema ukinaliza kula, chukua mifupa yako weka kwenye sahani iwe rahisi kwake kwenda kuimwaga rather than kuanza kuishika. Na kama n majumbani, ukimaliza kula peleka sahani umwage uchafu wako kwenye dustbin alaf uache sahan ikiwa vyema. Na pia, kwa ubora zaidi, ukikula, jitahd uweke mifupa yako hapo hapo kwenye sahani yako rather than kuyaweka chini..