Je, huwa unasali kabla ya kula chakula?

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula?

Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula, wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele. Umenunua mafuta. Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga. Umenunua mafuta. Umenunua nyama/mboga za majani. Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake. Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke. Wengine kafara, Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula. Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa. Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani. Je unasali kabla ya kula? Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae; Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia. Take a minute to pray. Hata ikiwa jikoni unapika. Anza kutakasa chakula. Ombea vitunguu, mafuta, nyanya, karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula, kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu, kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
Ndio nikisahau naomba dua katikati ht km kimeisha
Sisi tunaambiwa kabisa kabla ya kula omba Mungu sema'kwa jina la Mungu'
 
Hata mimi kuna muda nikijusahau, labda nimekumbuka tayari nilishaanza kula,
Natulia nasali.

Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Tunakushkuru sana mkuu

Huu n ujumbe muhimu sana

Wengi tunakula kula hovyo,hatusali,dunia imekaa vibaya sana hii…tujitahd kuwa spiritual
 
Shukuru Mungu amekupa praying wife.
Wanawake huwa tunahisi hatari ama jambo lolote.
Mungu ametupa neema hiyo.
Ni kweli ila kwanini mna roho mbaya na ni wachawi na pia hamuaminiki kwenye mahusiano siku hizi, tatizo ni nini?
 
Wasalaam,

Nimekaa nikatafakari namna tunavyopata vyakula vyetu.

Wengi wetu tunanunua chakula, wachache wanaolima kila kitu wao pekeyao.

Nikawa nawaza,Umenunua unga/Michele. Umenunua mafuta. Umenunua nyanya na viungo mbalimbali vya mboga. Umenunua mafuta. Umenunua nyama/mboga za majani. Umenunua matunda barabarani unakula pasi na kuomba.

Hizo sehemu zote tofauti tofauti hujui mtu anatumia nini ili kusukuma biashara yake. Wengine hutumia dawa za mvuto ili biashara itoke. Wengine kafara, Wengine mazindiko ,nk..

Unakuja kucombine vitu vyote ulivyovinunua sehemu tofauti tofauti na kupika chakula kula. Imagine Umenunua vitu hivyo sehemu ambazo wauzaji wanaongeza mvuto kwa madawa. Nini kitatokea??

Ama kwa wale wanaokula migahawani. Je unasali kabla ya kula? Kuna migahawa hutumia nguvu za ajabu kuleta mvuto ili wateja wajae; Chakula kinaboostiwa na madawa ya ajabu(Wengine huthubutu hata kutumia hedhi ili wauze)

Wengi tukishaona tu chakula tunaanza kufakamia. Take a minute to pray. Hata ikiwa jikoni unapika. Anza kutakasa chakula. Ombea vitunguu, mafuta, nyanya, karoti nk.

Tujitahidi wakati wa kula tusali/tuombe Mungu akitakase chakula na aondoe Kila aina zote za uchafu na mambo mabaya.

Tuombe Mungu abariki chakula, kinapoingia mwilini kujenge mwili na kuutia nguvu, kisilete madhara mabaya.

Je, huwa unasali kabla ya kula chakula??
Wazo zuri sana,tunajisahaulisha kujiona tuko bize!
 
Mungu anataka hoja zenye nguvu ashuki Ili kubariki chakula
 
G nt7j9l4nbjjjyftj7iomk6gj9i8h 9o99oby jk9ijj54j.c53362333t533446t636vfkk..ndpxipX
iroj77huhy gjimr44444nom88
 
Back
Top Bottom