Je, huwa unafikiria kuhusu mifumo ya usalama kwenye gari kabla ya kununua gari?

Huo ni utoto sasa! Mwache apambane na hali yake! Kitu pekee unaweza uka temper nacho bila madhara ni kung’oa air suspension na kufunga za kawaida😅 au hydraulic suspension.

Mambo ya umeme achaneni nayo kabisa.

Kuna mtu alinunua Prius Hybrid ile gari majanga yalikuja kuanza baada ya kuua control ambayo inaswitch kati ya engine na motor.

Ilimkula hela siyo za nchi hii.

Walifanikiwa kulirudisha kwenye mfumo wa engine tu ila halikumaliza hata 500km likazima tena.
 
😅😅😅😅😅😅😅 hizo gari mafundi hazina kabisa ni kujisalimisha toyota tu huna jinsi
 
Sijasahau hata mwezi tu haujaisha nilikuwa narekebisha Vits ya mtu, Vitz zile za kuanzia 2005.

Nimefungua kule kwenye engine vitu kibao, nimerekebisha vya kurekebisha, kuja kurudishia gari hata kushtuka haishtuki.

Kuja kupima B2799 Engine Immobilizer Malfunction, imestack na haitoki, Nimeparangana nayo karibu saa zima ndio nimefanikiwa kuireset na gari ikawaka.

Yaani kutoa battery masaa mawili tu imekorofisha Immobilizer, Huu wehu upo sana kwenye toyota japo alichelewa kuanza kutumia huo mfumo ila ndio gari ina anti theft ya hivyo.

Imagine kuna matoleo mengi sana ya toyota tena mengine mpaka ya miaka ya 2018 unaweza kuprogram kuprogram funguo bila hata mashine, Yaani mtu ananunua funguo blank anaenda anafanya Key cut anakuja anaiprogram ndani ya gari lako, Ndo maana gari zinaibiwa kama nyanya.

Huu ujinga huwezi kuukuta kwenye gari za mzungu.
Mzungu ni kichwa.. ukuondoa tu herufi Z unakuta Mungu. Mungu ame invest maarifa mengi sana kwao hao watu kwasababu wana roho nyeupe.. vitu vyao vitaendelea kuwa bora sanaaa.. alafu mzungu hana cha kujifananisha na mjapan, ila mjapan kila kukicha anajilinganisha na mzungu
 
Sijasahau hata mwezi tu haujaisha nilikuwa narekebisha Vits ya mtu, Vitz zile za kuanzia 2005.

Nimefungua kule kwenye engine vitu kibao, nimerekebisha vya kurekebisha, kuja kurudishia gari hata kushtuka haishtuki.

Kuja kupima B2799 Engine Immobilizer Malfunction, imestack na haitoki, Nimeparangana nayo karibu saa zima ndio nimefanikiwa kuireset na gari ikawaka.

Yaani kutoa battery masaa mawili tu imekorofisha Immobilizer, Huu wehu upo sana kwenye toyota japo alichelewa kuanza kutumia huo mfumo ila ndio gari ina anti theft ya hivyo.

Imagine kuna matoleo mengi sana ya toyota tena mengine mpaka ya miaka ya 2018 unaweza kuprogram kuprogram funguo bila hata mashine, Yaani mtu ananunua funguo blank anaenda anafanya Key cut anakuja anaiprogram ndani ya gari lako, Ndo maana gari zinaibiwa kama nyanya.

Huu ujinga huwezi kuukuta kwenye gari za mzungu.
Kuna mkangafu wangu hapa carina my road.
Nikiwasha asubuhi inawaka vizuri tu.

Shida inakuja ukiizima unapokuja kuwasha tena haiwaki hadi ukae kama dakika tatu ndipo ukiwasha inawaka.

Betri ni mpya na mafuta yapo full tank

Shida inaweza kuwa ni nini boss wangu?
 
Haiwaki namna gani?

Startor inazunguka engine haipokei?

Au Hata startor haizunguki?
 
Ikiwa ABS inawaka, je gari haiwezi kushika breki??

ABS inakusaidia kwenye Harsh braking kama upo speed kali, gari inatulia na unaweza kuicontrol vizuri,

Bila ABS kwenye Harsh braking unaweza kula mzinga au kusababisha majanga mengine(Gari inashake sana).

Ni kakitu kadogo ila It Worth.

Hapo sijagusia ishu ya wheels kujam kama mtu ana Drum brakes.
 
Back
Top Bottom