Wapo wanaojua kupenda wako tayari kwa lolote, ila mwisho wa siku huambulia maumivuDuuuuh , kwanza ile tu baada ya kupima na majibu yakaja ana ngoma ndio mwisho na sitaki kuongea naye tena
Kupenda tu wala sio kulogwa, mapenzi upofuDuh! uyo ata akiniloga siwez kumsiliza hata Sekunde 1
Hapana Mkuu Ndandambuli hakuna mapenzi ya hivyo, huwezi kumpenda MTU kuliko wewe mwenyewe, Sharti ujipende kwanza kabla ya kumpenda mwenzio, Huwez kujiua kwa sababu unapenda, ukushakufa utampenda tena nani?Huo ni ubwege.Kupenda tu wala sio kulogwa, mapenzi upofu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hapana Mkuu Ndandambuli hakuna mapenzi ya hivyo, huwezi kumpenda MTU kuliko wewe mwenyewe, Sharti ujipende kwanza kabla ya kumpenda mwenzio, Huwez kujiua kwa sababu unapenda, ukushakufa utampenda tena nani?Huo ni ubwege.
Vyovyote iwavyoYote kheri tu