Ya kawaida chini ya juaPole sana kwa yaliyokukuta [emoji22][emoji22][emoji22]
NenoSidhan kama jamaa atatumia condom mda wote, yawezakuwa anakochepukiaga hupewa pekupeku,achana nae coz kuna siku utaruhus aingie peku
Sina takwimu.Ulikuwa na mume/mke, akakuacha bila bila sababu yoyote ya msingi, baada ya miaka kadhaa kupita anakutafuta anakuomba mrudiane, kwakuwa ulikuwa unampenda sana unamkubalia mnaenda ANGAZA kucheki salio, huko angaza mnakutana na majibu mawili tofauti, majibu yako ni HIV-ya mwenzako HIV +.
Haya majibu yanaleta tafrani, unamuuliza mwenzako kumbe umekuja kuniua? Uliniacha ukiwa na afya njema miaka kibao imepita leo unataka turudiane kwasababu una maambukizi? Anaanza kujitetea hatimaye unakubali na unampa masharti, ni mwendo wa mpira maisha yetu yote.
Anakushukuru sana kwa kukubaliwa na anakuahidi atakuwa mwaminifu kwako maisha yake yote hataweza kukusaliti, anakula kiapo cha uaminifu anakwambia endapo itatokea amekusaliti Mungu ampe adhabu ya kifo bila kuchelewa, miaka mitatu baadae unamfumania live yuko na mpenzi wake wa zamani, kama kawaida yake anaendelea kuomba msamaha usimwache muendelee kuishi pamoja, je ukimsamehe mtu kama huyo itakuwa ni kwasababu ya mapenzi uliyonayo kwake ujinga ubwege au kitu gani?
Huu hata kwenye ujinga, ubwege havipo. Ni uhayawani sijui nini? Maana sina takwim.Yani kaja na ukimwi wake bado hatulii? Hayo mapenzi ya dhati yatakuwa from a distance .kuendelea nae ni ujinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Ulipo msamehe baada ya kukuacha ni ubwege, ulipomsamehe mara ya pili baada ya yeye kutaka kukaambukiza ukimwi makusud ni ubwege na nusu, ukimsamehe tena asaiv ni ubwege times two,
NB: suala si yeye kua na ukimwi, suala nikutaka kukuambukiza makusudi. Nakuhakikishia huyo hajarud hv hv atahakikisha unaupata kwa njia yoyote ili usiwe na jeur juu yake. Omba uwe salama mpaka asaiv, baada ya hapo toka nduki kama nzi anayetoka chooni baada ya kukosa mav
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Limbwata halijawahi kuongopa!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Huu hata kwenye ujinga, ubwege havipo. Ni uhayawani sijui nini? Maana sina takwim.
ZitafuteSina takwimu.
Kuna watu wanabahati sana lkn wanaziacha ziende. Mungu akufanyie wepesi. Hongera mtoa uziZitafute
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Aau ukshndwa yote uliyoambiwa pita Chumban angalia kwnye kona ya ukuta pemben ya kitanda utakuta kichupa kdgo Ukinyanyue ukiangalie utajiona upo ndan ya Hcho kichupa ndyo utajua cha kufanya..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulipo msamehe baada ya kukuacha ni ubwege, ulipomsamehe mara ya pili baada ya yeye kutaka kukaambukiza ukimwi makusud ni ubwege na nusu, ukimsamehe tena asaiv ni ubwege times two,
NB: suala si yeye kua na ukimwi, suala nikutaka kukuambukiza makusudi. Nakuhakikishia huyo hajarud hv hv atahakikisha unaupata kwa njia yoyote ili usiwe na jeur juu yake. Omba uwe salama mpaka asaiv, baada ya hapo toka nduki kama nzi anayetoka chooni baada ya kukosa mav