goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Ni jambo la kufikiri tu na kufanya maamuzi zaidi.
Mtu aliyekuacha bila sbb halafu anakuja mrudiane na ww unakubali. Huo ndiyo ubwege. Kibaya zaidi ameathirika.Uko sahihi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mtu aliyekuacha bila sbb halafu anakuja mrudiane na ww unakubali. Huo ndiyo ubwege. Kibaya zaidi ameathirika.
Mm mtu wa hivyo, namtoa nduki.
Hamna mapenzi hapo....huo ni ujinga kabisa.....inabidi mtu kama huyo ashtakiwe na jamuhuru kwa kujaribu kujiua....Hayo ndo mapenzi ya dhati unayoambiwa mkuu. Mapenzi yana nguvu kuliko kifo mkuu.
Hapo tume match mkuu,nipo hivo pia ikienda imeendaMimi tukiachana duniani hata mbinguni hatuwezi kurudiana
Aiseee itategemea na Jinsi mlivyoachana !!.Hapo tume match mkuu,nipo hivo pia ikienda imeenda
Kuna mengne yanaumiza mnoooo haipaswi kurudi,ogopa kusingiziwa jambo yaan kitu sicho ila mtu anataka kiwe daaah n more than pain umejituliza bt at The end unaitwa bitch ahahahahahAiseee itategemea na Jinsi mlivyoachana !!.
Kuna sababu nyingi zinazotokea mpaka watu kuachana ,lkn hiyo huwa haimaanishi hawapendani !!...
Je umesahau habar ya yule bwana aloshindwa kumuoamchumba wake kisa Dini tofauti ???? Waliachana aisee na wazazi wao wakatukanana sana..je unajua nn kiliendelea ??? Saizi wanamtoto mmoja akati walikaa miaka miwili nanusu paspo kuongea !!.
Yeah that's y nikasema inategemea mmeachana vipi ,, kuna maachano mengine hustahili msamaha tu LAKINI sio kurudiana tens kimapenzi.Kuna mengne yanaumiza mnoooo haipaswi kurudi,ogopa kusingiziwa jambo yaan kitu sicho ila mtu anataka kiwe daaah n more than pain umejituliza bt at The end unaitwa bitch ahahahahah
Hata kusamehe siwez mana ntakua mnafki coz ukimsamehe mtu inabid ulifute kabsa na moyon asa nikimsamehe na moyon bado lipo nakua sijafanya kitu n bora kutomsamehe tu.Yeah that's y nikasema inategemea mmeachana vipi ,, kuna maachano mengine hustahili msamaha tu LAKINI sio kurudiana tens kimapenzi.
Tunajifunza kusamehe ,ili kufungua milango yetu ....sasa kusamehe sio lazima mrudiane kimapenzi .
Of course kuna mambo wanayoyafanya watu ,ambayo daahhhh mpaka mtu unakuta hutaman kumwona !!,, Sasa waina hiyo anapokuja nikumsamehe nakumwambia "Umechelewa".
Ngoja nikuambie kitu ,, Kuisha maisha ya kumchukia MTU sio mazuri nachuki ni dhambi ,, sifa kubwa ya dhambi huwa inambembeleza MTU "aahh mchukie tuuu kwan ana nn " hatimaye mpaka mauti yanakushika upo naiyo dhambi !!.Hata kusamehe siwez mana ntakua mnafki coz ukimsamehe mtu inabid ulifute kabsa na moyon asa nikimsamehe na moyon bado lipo nakua sijafanya kitu n bora kutomsamehe tu.