Je, huu ni ukoo wenye laana?

Je, huu ni ukoo wenye laana?

Aende kufanya nini pekeyake, yeye awaambiye akipata muda atampeleka kama anatembea na mwanaye wa kumzaa je huyo mkwewe wa kaka yake atashindwa nini si ajabu kashamtamani anatafuta mbinu yakumpata ataenda vipi pekeyake nendeni wote laana hizo.
 
Habari wapendwa,

Nianze moja kwa kwa moja Nina Rafiki yangu ambae amepata malezi ya upande mmoja kwa maana ya kwa mama tu toka akiwa mdogo mpk alipofikisha miaka 20 ndio akaenda baba hakukaa sana kwa baba akatoka akaanza kujitegemea.

Kama miaka miwili nyuma ameoa juzi kati baba yake mdogo amemwomba mkewe akamtembelee ili ajuane na ndugu ili ajuane na ndugu wa pande hizo.
Huyu jamaa yangu yeye tupo busy busy kidogo sasa anasita kidogo kumruhusu mkewe aende huko kutokana historia ya ubabani kwao iko hivi, huyo huyo baba yake mdogo anahistoria ya kutembea mtoto wake wa kumzaa kabisa.

Kuna baba yake mdogo mwingine alikuwa anatembea na Dada yake na Huyu Rafiki yangu.

Kuna baba yake mkubwa yeye alizaa kabisa na Dada yake mtoto mama yake mdogo, hizo ni baadhi lakini kuna mitifuano ya kufa mtu.

Mie nimeshindwa cha kumshauri. Maana kwa sasa naombeni mnisaidie cha kumwambia.
Hata kama hana hiyo historia ni vema Mke anakenda na mume wake! Ubusy hautaendelea milele mume acreate time na waende pamoja!
 
Habari wapendwa,

Nianze moja kwa kwa moja Nina Rafiki yangu ambae amepata malezi ya upande mmoja kwa maana ya kwa mama tu toka akiwa mdogo mpk alipofikisha miaka 20 ndio akaenda baba hakukaa sana kwa baba akatoka akaanza kujitegemea.

Kama miaka miwili nyuma ameoa juzi kati baba yake mdogo amemwomba mkewe akamtembelee ili ajuane na ndugu ili ajuane na ndugu wa pande hizo.
Huyu jamaa yangu yeye tupo busy busy kidogo sasa anasita kidogo kumruhusu mkewe aende huko kutokana historia ya ubabani kwao iko hivi, huyo huyo baba yake mdogo anahistoria ya kutembea mtoto wake wa kumzaa kabisa.

Kuna baba yake mdogo mwingine alikuwa anatembea na Dada yake na Huyu Rafiki yangu.

Kuna baba yake mkubwa yeye alizaa kabisa na Dada yake mtoto mama yake mdogo, hizo ni baadhi lakini kuna mitifuano ya kufa mtu.

Mie nimeshindwa cha kumshauri. Maana kwa sasa naombeni mnisaidie cha kumwambia.
Ni Ukoo gani huo....Unapatikana mkoa gani...??
 
Haya mambo yapo. Kuna watu hawana msalia mtume. Wanaweza kula watoto wa mama zao wakubwa, wadogo, watoto wa wajomba zao. Ni full laana.
 
Yaan ule mwimbo wa manifongo wao ndio wameufanyia remix kabisa hyo haina ubaba hyo wanakulaga tu..... mwache aende aje aletewe mdogo wake kupitia mkewe......
 
Habari wapendwa,

Nianze moja kwa kwa moja Nina Rafiki yangu ambae amepata malezi ya upande mmoja kwa maana ya kwa mama tu toka akiwa mdogo mpk alipofikisha miaka 20 ndio akaenda baba hakukaa sana kwa baba akatoka akaanza kujitegemea.

Kama miaka miwili nyuma ameoa juzi kati baba yake mdogo amemwomba mkewe akamtembelee ili ajuane na ndugu ili ajuane na ndugu wa pande hizo.
Huyu jamaa yangu yeye tupo busy busy kidogo sasa anasita kidogo kumruhusu mkewe aende huko kutokana historia ya ubabani kwao iko hivi, huyo huyo baba yake mdogo anahistoria ya kutembea mtoto wake wa kumzaa kabisa.

Kuna baba yake mdogo mwingine alikuwa anatembea na Dada yake na Huyu Rafiki yangu.

Kuna baba yake mkubwa yeye alizaa kabisa na Dada yake mtoto mama yake mdogo, hizo ni baadhi lakini kuna mitifuano ya kufa mtu.

Mie nimeshindwa cha kumshauri. Maana kwa sasa naombeni mnisaidie cha kumwambia.
Hakuna cha kwenda asubuhi kurudi jioni. Kwani kitendo hakichukui hata masaa mawili kishafanyika. Wasubiri wataenda pamoja.
 
Mm mwenyewe nashaangaa MTU kumuoa motto wa mjomba wake tena kwa harusi kubwa,et Mali zisiende kwenye uko mwingine duuuh
 
Mbona umeandika kama una kigugumizi!!?Mwambie asimpeleke kumbe kashaona mapungufu hayo
 
Habari wapendwa,

Nianze moja kwa kwa moja Nina Rafiki yangu ambae amepata malezi ya upande mmoja kwa maana ya kwa mama tu toka akiwa mdogo mpk alipofikisha miaka 20 ndio akaenda baba hakukaa sana kwa baba akatoka akaanza kujitegemea.

Kama miaka miwili nyuma ameoa juzi kati baba yake mdogo amemwomba mkewe akamtembelee ili ajuane na ndugu ili ajuane na ndugu wa pande hizo.
Huyu jamaa yangu yeye tupo busy busy kidogo sasa anasita kidogo kumruhusu mkewe aende huko kutokana historia ya ubabani kwao iko hivi, huyo huyo baba yake mdogo anahistoria ya kutembea mtoto wake wa kumzaa kabisa.

Kuna baba yake mdogo mwingine alikuwa anatembea na Dada yake na Huyu Rafiki yangu.

Kuna baba yake mkubwa yeye alizaa kabisa na Dada yake mtoto mama yake mdogo, hizo ni baadhi lakini kuna mitifuano ya kufa mtu.

Mie nimeshindwa cha kumshauri. Maana kwa sasa naombeni mnisaidie cha kumwambia.
kifupi asimruhusu aende huko.
huu undugu wa kina bamdogo tupa kule cha.muhimu mke kawafahamu wakwe zake na mashemehi inatosha.
Narudia tena ASIMRUHUSU.... asije akaja kukulilia
 
Ujumbe umefika
 
Siyo laana ni mambo ya kiukoo zaidi,ukiyafuatilia kwa undani utagundua kuwa hayakuanzia kwenye kizazi chao unaweza kukuta ni mambo yapo kizazi na kizazi kwahiyo ni ya kurithi.Cha kufanya asimruhusu ilimradi mwenyewe anakiri kuwa yapo, na kawaida huwa yanaweza kuhamia mpaka kwenye kizazi chake mwenyewe na yakaendelea vizazi vinavyofuata.Kama ni muamini wa Mungu maombezi hapo yanahusika ili kuvunja hiyo chain vinginevyo ataendelea kushuhudia hayo matukio kila kukicha.
 
Asimruhusu!!!....kwenye mambo ya kiroho anatakiwa afanye kitu
 
Aisee kuna mambo mengine ya kushauriwa ila sio hili mkuu .
 
Back
Top Bottom