Je, huu ni ukoo wenye laana?

Je, huu ni ukoo wenye laana?

kama vipi achukue hata likizo ya siku tatu then aende nae awe karibu sana na mkewe baadae arudi nae, pia mwonye mkewe indirect asimwambie yeye amweke tu kwenye mabano katika hilo onyo, maana pia asipoenda inaweza kuleta maneno maneno
 
Jamani hata kama ndio haelewi ivi kweli mpaka hapo bado tuu haoni tatizo? au sababu ushari JF bure ndio mana anaomba tuu? atumie akili yake japo kidogo...
 
Dunia yahaki zabinadamu ndo imeyaleta yote hayo,, kadiri unavyozidi ku advance kimtazamo ndo unavyozidi kuwa na mtazamo negative..!
Dunia yahaki zakibinadamu ndo zao laushoga, ndo zajinsia moja, ndoa zawanyama na wanadamu..!

##mwenye elimu hupimwa kwakuzijua haki zake##
 
Bila kupekecha macho, jamaa asimruhusu mkewe kwenda huko pekee, aende naye na wakae siku chache warudi, awe karibu nae.

Amwambie mkewe ukweli kuhusu tabia za kwao (wachache hamtanielewa, ila mkumbuke mke ni tayari mshajenga undugu nae maisha yote). Hivyo amueleze tu ukweli wa tabia ya kwao.

Unajua kama hawana Mungu, ndani yao (hao wanandoa), inakuwa ngumu sana kwa ufafanuzi ufuatao, ila sitanukuu kitabu chochote cha imani, uelewe tu kwa upana;

Unajua mara nyingi hiyo ni laana ya familia ama ukoo, na haiondoki hadi itolewe kwa maombi ya nguvu sana, ni kama laana zengine tu za magonjwa makubwax2, laana za vifo vya mara kwa mara, laana za kutosonga kielimu n.k

shetani siku zote ndiyo dereva wa hilo / hayo, na mbaya zaidi mambo yote duniani mabaya kwa mazuri ardhi inayarekodi kwa ushahidi wa baadaye hukumuni, na ndiyo maana unasikia ardhi imelaaniwa. Sasa kitendo cha mkewe kufika tu katika mji huo, ile laana itaanza kumuwinda, maana ipo pale (ardhi), na akiingia mgeni inatambua.

Halafu la zaidi, huwa hao wazee wanatumia dawa kuwapata watoto wa ndugu zao ama wakwe zao. Na wakati mwengine siyo wazee tu, hata watoto wao popote pale walipo, hizo laana zinawafuata kama tu hawajazikana.

Nilishashuhudia Baba anamlala mtoto wake, akamlala mkwewe, naye mtoto wake wa kiume akamlala mama yake mdogo, aliolewa bado binti mdogo, nikashuhudia pia mjukuu akimlala bibi yake, naye aliolewa akiwa binti mdogo.

Na ndiyo maana nikasema, kama siyo watu wa kusali sana, hakika atanasa tu akienda, either anase kwa baba ama shemeji, ama mtoto wake (kijana yeyote hapo atakayemuita mama mdogo).

Kumbuka kama ni msomaji wa Biblia, laana hii ilimuandama Daudi, na hata alipotubu sana kwa machozi, haikumuacha.

Poleni kwa maelezo marefu, ila nakushauri mwambie waende wote na mkewe, asiogope lawama, zipo tu ukizingatia aliwajua ukubwani, na hata upendo nao sidhani kama anao sana.

Ahsante!
 
Nikisema hata Daudi wa kwenye Biblia, laana hii haikumuacha hata alipolia sana kwa machozi mengi, Mungu alimpa adhabu ya mtoto atakayezaliwa atakufa, ila atashuhudia watoto wake wa kiume wakilala na wake zake mchana peupe, na wao wenyewe kulalana. Na ilitokea hadi kubakana.

Nikisema nilishuhudia, simaanishi niliwashikia miguu, hapana ila unajua mkikaa katika eneo moja dogo mnajuana na hata yanayojiri saa 9 usiku asubuhi watu watayasimulia tu na ndiyo kushuhudia huko.

Kwa wale waliokulia vijijini, mtakumbuka hili, unamfuatilia binti usiku giza kali, unaingia hadi kwao (mara nyingi mabinti walilala jikoni ama na mabibi), ila kukicha watu wanajua, kwa nini hivyo, ni kwa kuwa wakati unaenda, kuna wengine hawajalala, wengine wanawanga wanakuona, wengine wezi wanavizia waibe, wengine kama wewe wanategea mabinti wengine.

Jamani ni ufafanuzi kidogo tu, maana wasomi wengi siku hizi wa kupindisha maana.

Ahsante!
 
Mwanamke akienda peke yake na akikaa muda zaidi ya 70% ataotewa tu kutimiliza agano/laana ktk ukoo huo.! Hii mambo hairuki generation
 
Habari wapendwa,

Nianze moja kwa kwa moja Nina Rafiki yangu ambae amepata malezi ya upande mmoja kwa maana ya kwa mama tu toka akiwa mdogo mpk alipofikisha miaka 20 ndio akaenda baba hakukaa sana kwa baba akatoka akaanza kujitegemea.

Kama miaka miwili nyuma ameoa juzi kati baba yake mdogo amemwomba mkewe akamtembelee ili ajuane na ndugu ili ajuane na ndugu wa pande hizo.
Huyu jamaa yangu yeye tupo busy busy kidogo sasa anasita kidogo kumruhusu mkewe aende huko kutokana historia ya ubabani kwao iko hivi, huyo huyo baba yake mdogo anahistoria ya kutembea mtoto wake wa kumzaa kabisa.

Kuna baba yake mdogo mwingine alikuwa anatembea na Dada yake na Huyu Rafiki yangu.

Kuna baba yake mkubwa yeye alizaa kabisa na Dada yake mtoto mama yake mdogo, hizo ni baadhi lakini kuna mitifuano ya kufa mtu.

Mie nimeshindwa cha kumshauri. Maana kwa sasa naombeni mnisaidie cha kumwambia.
Kumbe majibu na 7bu za kukataa anazo kwanini asizitumie anatafuta tumpe zingine za uongo au? Mtu kusoma kama ujui hata kutazama picha hawezi! [emoji15]
 
Bila kupekecha macho, jamaa asimruhusu mkewe kwenda huko pekee, aende naye na wakae siku chache warudi, awe karibu nae.

Amwambie mkewe ukweli kuhusu tabia za kwao (wachache hamtanielewa, ila mkumbuke mke ni tayari mshajenga undugu nae maisha yote). Hivyo amueleze tu ukweli wa tabia ya kwao.

Unajua kama hawana Mungu, ndani yao (hao wanandoa), inakuwa ngumu sana kwa ufafanuzi ufuatao, ila sitanukuu kitabu chochote cha imani, uelewe tu kwa upana;

Unajua mara nyingi hiyo ni laana ya familia ama ukoo, na haiondoki hadi itolewe kwa maombi ya nguvu sana, ni kama laana zengine tu za magonjwa makubwax2, laana za vifo vya mara kwa mara, laana za kutosonga kielimu n.k

shetani siku zote ndiyo dereva wa hilo / hayo, na mbaya zaidi mambo yote duniani mabaya kwa mazuri ardhi inayarekodi kwa ushahidi wa baadaye hukumuni, na ndiyo maana unasikia ardhi imelaaniwa. Sasa kitendo cha mkewe kufika tu katika mji huo, ile laana itaanza kumuwinda, maana ipo pale (ardhi), na akiingia mgeni inatambua.

Halafu la zaidi, huwa hao wazee wanatumia dawa kuwapata watoto wa ndugu zao ama wakwe zao. Na wakati mwengine siyo wazee tu, hata watoto wao popote pale walipo, hizo laana zinawafuata kama tu hawajazikana.

Nilishashuhudia Baba anamlala mtoto wake, akamlala mkwewe, naye mtoto wake wa kiume akamlala mama yake mdogo, aliolewa bado binti mdogo, nikashuhudia pia mjukuu akimlala bibi yake, naye aliolewa akiwa binti mdogo.

Na ndiyo maana nikasema, kama siyo watu wa kusali sana, hakika atanasa tu akienda, either anase kwa baba ama shemeji, ama mtoto wake (kijana yeyote hapo atakayemuita mama mdogo).

Kumbuka kama ni msomaji wa Biblia, laana hii ilimuandama Daudi, na hata alipotubu sana kwa machozi, haikumuacha.

Poleni kwa maelezo marefu, ila nakushauri mwambie waende wote na mkewe, asiogope lawama, zipo tu ukizingatia aliwajua ukubwani, na hata upendo nao sidhani kama anao sana.

Ahsante!

Mkuu, umetoa ushauri mzuri sana. Respect for you brother..
 
Mkuu, umegusa issue ya bible ili kuvunja hayo maagano/Laana. Je kwa mtu anayeishi kama wachina je? yaani kanisani haendi wala Dini anaisoma kwenye vitabu! huyu atatoka vipi?
 
Mkuu [HASHTAG]#Prof[/HASHTAG], ukishikwa na tatizo na haswa ukijua ya kuwa ni tatizo, lazima kwa namna yoyote ile utatafuta msaada. Ipo tu siku yatakuzidi, utaongea na wenzio watakuelekeza pa msaada.

Uzuri wa Mungu, huyu tunayemuabudu kwa kweli, na maandiko yanathibitisha haya, ni mwingi wa huruma, maana kuna mahala kupitia vinywa vya manabii aliowatumia, alisema hata ukiwa na dhambi nyekundu atazisafisha na kuwa nyeupe kama sufi, yaani kukuondolea. Ila lililo kuu ni kumtii, kumuamini, na kuyafuata maagizo / mafundisho yake.

Nahisi nimekujibu, na uzuri siku hizi injili inahubiriwa kila kona, hadi baa wanaihubiria - kupitia radio, tv, n.k. Ni wewe tu kuamua.

Ahsante!
 
Nimeshamwambia kama anataka amegewe kisela amruhusu mkewe basi amruhusu aende
 
Back
Top Bottom