Mama Mchungaji
Member
- Sep 4, 2009
- 23
- 0
mwezi uliopita mdogo wangu wa kike alinifuata, akanieleza tatizo lake ambalo kusema ukweli nimekosa jinsi ya kumsaidia. yeye anamiaka 20. anaboyfriend wake, anasema toka alipoanza kushiriki tendo la ndoa hajawahi kufeel chochote. hisia za kufanya tendo la ndoa anazo, lakini akiingiliwa hahisi chochote. je huyu anaweza kuwa na tatizo gani? naomba kama kuna tiba ya huu ugonjwa basi niambieni. tiba yoyote tafadhali.