Je huu ni ugonjwa gani?

Sep 4, 2009
23
0
mwezi uliopita mdogo wangu wa kike alinifuata, akanieleza tatizo lake ambalo kusema ukweli nimekosa jinsi ya kumsaidia. yeye anamiaka 20. anaboyfriend wake, anasema toka alipoanza kushiriki tendo la ndoa hajawahi kufeel chochote. hisia za kufanya tendo la ndoa anazo, lakini akiingiliwa hahisi chochote. je huyu anaweza kuwa na tatizo gani? naomba kama kuna tiba ya huu ugonjwa basi niambieni. tiba yoyote tafadhali.
 
Mama mchungaji pole kwa tatizo la mdogo wako. Nakushauri umshauri amwone daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake! Pia hapa JF kuna jukwa linaitwa JF Doctor...ungeweka mada hii pale ungeweza kupata ushauri mzuri zaidi!

Ni maoni yangu tu!
 
Maandalizi yanakuwa ya kutosha kweli? miaka yeyewe hiyo inaonesha bd wanajifunza
 
Bwana asifiwe mama mchungaji
Mod watakusaidia kuiweka sehemu husika na mdogo wako atapata msaada mapema iwezekananvyo
 
lol!Umri mdogo sana huo kuanza ngono!NINAWALILIA VIJANA TAIFA LA KESHO!NINAWALILIA WANA-JF....!
 
Bwana asifiwe mama mchungaji
Mod watakusaidia kuiweka sehemu husika na mdogo wako atapata msaada mapema iwezekananvyo

Amen!
That is what it takes to be the firstlady! I am impressed with this comment!
 
lol!Umri mdogo sana huo kuanza ngono!NINAWALILIA VIJANA TAIFA LA KESHO!NINAWALILIA WANA-JF....!

Jamani lets call a spade a spade and not a big spoon here! Miaka 20 ni mdogo kuanza ngono? Nilidhani sheria ya nchi inasema kwamba msichana mwenye umri wa miaka 14 anaruhusiwa kufunga ndoa (!?) - Wanasheria naomba mnisahihishe!!

Hapa tuangalie tatizo la yeye kutokuwa na hisia zozote na si umri.
 
mwezi uliopita mdogo wangu wa kike alinifuata, akanieleza tatizo lake ambalo kusema ukweli nimekosa jinsi ya kumsaidia. yeye anamiaka 20. anaboyfriend wake, anasema toka alipoanza kushiriki tendo la ndoa hajawahi kufeel chochote. hisia za kufanya tendo la ndoa anazo, lakini akiingiliwa hahisi chochote. je huyu anaweza kuwa na tatizo gani? naomba kama kuna tiba ya huu ugonjwa basi niambieni. tiba yoyote tafadhali
 
huyo binti hana tatizo lolote, maana bado ni tegemezi, labda bado mwanafunzi, hajapata elimu ya kutosha juu ya mahusiano, anahofu ya mimba na ukimwi, hivyo kamwe hawezi kuenjoy mahaba....
mwambie awe na subira.
 
Bwana Asifiwe mama,pole kwa tatizo la mdogo wako nadhani hafeel chochote coz mda alioanza hayo mambo bado ni mdogo na hayo mambo yanaitaji umri barabara so usijali nadhani umri muafaka ukifika ata feel tu.Nadhani uliwahi kucheza michezo ya baba na mama ulipokuwa mdogo na pia ulicheza kinguonguo nadhani nitakuwa sahii kwamba hukufeel kitu,but ulipokuwa mkubwa tendo likabarikiwa nadhani now your feeling it and possibly u cnt live without it!ni mtazamo wangu tu dia.
lol!Umri mdogo sana huo kuanza ngono!NINAWALILIA VIJANA TAIFA LA KESHO!NINAWALILIA WANA-JF....!
 
huyo binti hana tatizo lolote, maana bado ni tegemezi, labda bado mwanafunzi, hajapata elimu ya kutosha juu ya mahusiano, anahofu ya mimba na ukimwi, hivyo kamwe hawezi kuenjoy mahaba....
mwambie awe na subira.
 
Pia it can be hafeel kitu labda jamaa mwenyewe hamfeel,au mahali wanapofanyia lada geto kwa mshkaji so anakuwa na wasiwasi,u jamaa anaharufu za sigara,pombe etc
 
she is normal, i can asure u that. namaanisha psychological. so kuhusu habari ya kujifunza mapenzi sidhani. huyu ni mtu anayefanya kazi. anajitegemea.
 
naomba mkiwa mnanijibu zingatieni haya. huyu mpenzi wake anampenda sana. mahali wanapokutaniana ni paheshima tu, na umri wake ni wakutosha kuwa kwenye mahusiano. tatizo linaweza kuwa kwenye mwili? labda hormone fulani zimepungua, au? kwa kweli mi nilijiuliza maswali ya namna hio na mengine zaidi..
 
kabla sijakushauri nambao unijibu swali hili. Sina lengo la kudhalilisha.

Je, huyo binti amekeketwa?
 
Mama mchungaji mlete kwangu nimtibu naona jamaa yk kuna some touches/finishes zinamshinda nipm.....tafwazali
Thax
 
simshangai sana huyu mwenye tatizo, maandalizi hayatoshi,na pengine anasikilizia sana kuhisi raha hivo haipati. au ana hofu pengine atapata mimba,maana hana ndoa huyu.hivyo hofu inamkatisha raha.au hawana muda mrefu na huyo mpenziwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom