Je huu ndio mwisho wa Julius Mtatiro?

Wakuu mniwie radhi kwa kuwa kulikuwa na post kutoka kwa Director hapa jamvini siku za nyuma kumuhusu huyu Mkuu Mtatiro lakini nimeitafuta kwa update sikuweza kuipata,kwa hiyo nimeamua kufungua mpya!

Mkuu Mtatiro unaweza kutueleza kuwa mwisho wako kisiasa unakaribia? naomba utueleze nini hatma yako kwa sasa hivi,tunajua boss wako Maalim atahamia ccm pamoja na kundi lake,,je wewe utahamia wapi?ile post iliyokuwa hapa siku za nyuma ilikushauri uende chadema,je utaelekea chadema au utaelekea wapi??

Nataka ujue tunakutazama kwa jicho la karibu sana!


ili asalimike ni bora ende CCM-A
 
We topthinker CHADEMA haimtaki huyu jamaa kwa sababu hana busara kabisa. Hicho cheo cha katibu mkuu msaidizi kimemzidi sana (kimempwaya), akienda chadema awe mwanachama wa kawaida.

sasa unategemea aende chadema wampe nafasi kama hiyo mtu wa dizaini yake aneyeropoka ovyo tuu??
 
RIP CUF....sisi tulikupenda sana! ila mungu amekupenda zaidi na ameamua kukuchukua jumla
Bwana alitoa na Bwana ametwaa! jina la bwana libarikiwe.
 
anarudi ccm yule jamaa ana njaa sana,hatutaki viongozikama wale

Lakini si kama mnamwonea Mtatiro?

Hayo si mpaka yatimie jamani? Unajudge vipi kwamba Katibu wake mkuu atahamia CCM? Let's say atahamia... Ndiyo kifo cha CUF? Kwani hakuna CUF bila Maalim Seif? Vyama vingapi vinaexist na ni vyama dhaifu..?

Je,NCCR inaexist namna gani? Ama Mbatia naye waweza kumwita failure katika Tanzania politics? Au mnamjua ni mtu wa aina gani,na ana haiba gani?
Anyway,tuwaache wengine wenye maoni..
 
Back
Top Bottom