Kabla hujaandika huu umeshajiangalia kama Mkia uliokatwa umeshaota?Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.
Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..
Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.
Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.
Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.
Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.
• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.
• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.
• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.
• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.
• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.
• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.
Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?
Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.
Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.
Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?
Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?
Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.
Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?
Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?
Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.
Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.
Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.
Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.
Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?
Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki
Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.
Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
Kiongozi mkuu amwtoka kwetu mkuu kwa nini asijipendekeze anaweza kukumbukwa kwenye member of boardYaani wewe ili angalau kujisitiri ungenyamaza kimya ili tukusahau. Wewe hata kinyonga ana nafuu. Ulianza kutika ccm CCM kwa mgongo wa CCJ akina Six walipokutosa ukahamia CDM na kuandika makala nyingi na kitabu kuiponda CCM ghafla tena umerudia matapishi yako. Huaminiki!
Mkuu umempa za uso akisoma hii lazima akae chini.Unatia huruma sana mzee. Siku ile unatoka CCM ulidiriki hata kumtaja mama yako kwa jina na kusema CCM haijakuzaa na kusema dhamira yako ilikuwa inakusuta kipindi chote ukiwa kwenye hilo lichama chakavu, leo njaa imebana unakula matapishi yako???Duuu, unampa shida sana mwanao aisee.
Wewe saiz yako ni mathayo mbunge wako haya mengine huyawezi. Nenda subili wanaokuja kukodi maroli kupeleka misiba huko vijijiniWell said. SIDHANI KAMA TUTAMPATA RAIS SHUJAA KAMA MAGUFULI.
Mzee shikamoo, samahani mkia umeshaota?Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.
Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..
Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.
Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.
Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.
Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.
• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.
• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.
• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.
• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.
• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.
• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.
Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?
Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.
Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.
Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?
Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?
Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.
Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?
Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?
Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.
Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.
Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.
Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.
Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?
Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki
Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.
Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
Sijalalamika chochote mkuu...hela za nssf/ppf ni za wafanyakazi wa hali ya chini...kwani wewe unasapoti huu ujambazi unaofanyika kwenye mifuko hii...mmmhWewe utakuwa ni miongoni mwa wapiga deal ndio maana unalalamika
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Anajitahidi kuotesha mkia wake tena.
Aende Tandika kuna mganga toka Maswa anaunganisha mikia iliyokatwa, kusafisha nyota za UDC, zindiko la kujipendekeza na mengine mengi.😀...labda akapandikize wa Kichina, mkia original ukishakatwa ndiyo basi tena.
Aende Tandika kuna mganga toka Maswa anaunganisha mikia iliyokatwa, kusafisha nyota za UDC, zindiko la kujipendekeza na mengine mengi.😀