Je, huo nao ni ushujaa?

Je, huo nao ni ushujaa?

Ng'ombe aliyekatwa mkia anatafuta njia ya kurudi kwenye zizi mbona zili million kumi hajaziongelea au kafumba macho? Anaepinga rushwa anaweza kutoa rushwa? Haya maigizo tu mnafki kwenye uboro wake
 
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..

Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.

Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.

Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.

Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.

• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.

• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.

• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.

• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.

• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.

• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?

Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.

Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?

Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.

Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.

Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?

Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
Mzee Mpendazoe, andiko lako linakufunua kama mtu uliyechanganyikiwa kwa kushindwa kufikia matamanio yako na sasa unahangaika kuona kama unaweza kupata fursa nyingine! Samahani kwa kuandika hivyo, naweza kuwa nitakukwaza lakini huo kwangu ndio ukweli na sioni namna nyingine ya kuueleza.

JPM amemaliza mwaka akiwa madarakani, tumeona uongozi wake kwa kipindi hicho, na bahati nzuri alisema nasi kupitia mazungumzo yake na wahariri na wanahabari wiki iliyopita. Kwa namna alivyojibu maswali ya wanahabari na kwa namna alivyojipambanua kupitia kauli, utendaji wake wa kazi na teuzi za wasaidizi wake wakiwemo madc, maded, madas; nakadhalika, wenye akili wameishaelewa ni aina gani ya rais waliyemweka madarakani, wala wewe huna "moral authority" angalau kwa wakati huu, kutupa sura halisi ya kiongozi wetu mkuu wa nchi. Yeye mwenyewe rais ameishajipambanua kwetu na tumeishamwelewa.

Pili, japokuwa andiko lako halijamtaja Lema moja kwa moja, lakini ni dhahiri msingi wa ulichokiandika uko katika kile kinachoendelea kuhusu mbunge huyo wa Arusha. Ni bahati mbaya kwamba wakati suala la Lema liko mahakamani wewe unaibuka kumhukumu. Huu unaweza kuwa upuuzi wa kiwango kikubwa kufanywa na aina ya mtu kama wewe. Sitaki kuamini haraka kama "kukatwa kwako mkia" ndio kumesababisha uanze kufikiri kwa namna hii.

Tatu, hoja ya udikiteta uchwara au uchwara mwingine huwa ina mahali inasimama yenyewe; kwa mfano akitokea mtu akadai wewe Mpendazoe ni mwanasiasa uchwara atakuwa amekosea?
 
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..

Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.

Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.

Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.

Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.

• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.

• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.

• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.

• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.

• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.

• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?

Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.

Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?

Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.

Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.

Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?

Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
M, ten zilikupitia bila shaka
 
Kile kitabu chako ulichokizindua pale polisi jamii dodoma mjinini,ulikuwa unapinga jambo gani? naleo unazungumza mambo yapi?
Screenshot_2016-11-08-18-14-45.png
Screenshot_2016-11-08-18-14-45.png
 
Siamini macho yangu. Ni wewe au mwingine? Mbona nafasi zimejaa? Au unautaka u dci?mbona yuko acting tayari? Na marehemu hakuwa na nafasi yoyote? Sijaiona. Tusubiri
 
Mpendazoe njaa ina kusumbua,tafuta shughuli nyingine ufanye siasa itaua njaa watoto wako,unae mtetea juzi tu alikuita ng'ombe usie na mkia bado tu una mfuata !!
 
Mwambie huyo mtukufu sana aachie ajira,arudishe fao la kujitoa maake ni hela zetu,awape vijana mikopo.....kidogo ataeleweka.....zaidi atatuua huku mtaani
Wewe utakuwa ni miongoni mwa wapiga deal ndio maana unalalamika
 
,kwa hiyo Fred pumzika kwa amani
You made wrong choices ,just eat your sour grapes quietly
A has been
 
Unatia huruma sana mzee. Siku ile unatoka CCM ulidiriki hata kumtaja mama yako kwa jina na kusema CCM haijakuzaa na kusema dhamira yako ilikuwa inakusuta kipindi chote ukiwa kwenye hilo lichama chakavu, leo njaa imebana unakula matapishi yako???Duuu, unampa shida sana mwanao aisee.
Nakumbuka kweli walishikana uchawi kweli kweli na kaka yake, Fred alipoamua kuhama ccm. njaa ukiiendekeza ni aibu sana.
 
Unajua hakuna watu wa ajabu kama binadmu,tunajua dhumuni la upinzani ni kushika dola, na ipo wazi kuwa hata uongozi uliopo madarakani ufanye vyema vip upinzani hauwezi kukubali kwamba kuna mambo yenye maslahi kwa taifa yanafanyika,zimepiya hawamu kama tatu manunguniko yalikuwa ni mengi mno sasa awamu hii mambo yananyooka kila kona JPM Kwa mwaka mmoja kafanya mengi mazuri mno lakini yote ukawa hawaoni sasa kwa utaratibu huo itawachukua mda mrefu sana wa maumivu,ila ccm inawapa pole nyingi sana
 
Nafasi za Uteuzi zimeisha Mkuu. Jaribu kiki nyingine.
Nafasi zimeisha kwani hapa anajulikana ni nani hapa anatumia ID fake kama tulivyo wote ila kawapa makavu,kuna na wale wanasheria wao wanawaiya (nguli) sasa kama mallya naye anaitwa nguli??basi ni kazi
 
MPENDAZOE NI WEWE KWELI? UMEKUWA MPWEKE SANA, NGOJA NIKUNONG'ONEZE 'WENZAKO WANACCM WALE TUSIO KATWA MIKIA UKIFIKA TU TUNAKATISHA MAONGEZI, MAANA MKIA WAKO MFUPI TUNAKUFAHAM MARAMOJA. ILA HIZI JUHUDI UNAZOTAKA KUZIANZA HEBU ENDELEA NAZO TUNAKUMULIKA.
 
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..

Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.

Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.

Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.

Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.

• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.

• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.

• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.

• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.

• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.

• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?

Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.

Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?

Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.

Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.

Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?

Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
Bro siasa zako zinafiti level ya familia tu, huku mtaani your nothing
 
Back
Top Bottom