Je, huo nao ni ushujaa?

Je, huo nao ni ushujaa?

Wahanga wa tetemeko walishapewa pesa yao waliyochangiwa na watanzania wenzao?
Hivi wewe mpendazoe,unajielewa kweli umetangatanga,na sasa unaonekana huna pa kushika,hujielewi unabakia kuwa ng'ombe usie na mkia.
 
Usukumani PUNDA huitwa Nzobhe. So, anayependa Punda huitwa Mpenda Nzobhe.
 
Mpendazoe unajidhalilisha unazeeka vibaya,ulichoandika ni upuuzi ambao hata ambaye hajasoma atakushangaa,umedhabugi huwezi tena kujenga hoja.
 
In summary sijui kama viongozi Wa chadema wanahekima Na busara maana huwezi kuacha vijana wakitukana hovyo !!chama kinaandaa vijana Wa hovyo kutukana viongozi!!hawaandai vijana kuwa viongozi wenye hekima Na busara ndo maana huwa wanaazima watu Wa kugombea !!
 
Du Mpendazoe! Hadi aibu. Naona unajaribu kumkumbusha Magufuli kwamba bado upo asikusahau! By the way, wewe sio mmoja wa watu waliokipigania nivjo chama kushika dola. Wewe ulikuwa unaipigania chadema. Sasa uliposhindwa njaa imekaba unatafuta namna ccm wakusaidie. Siasa za namna hii kwa mtu kama wewe ni aibu sana. Mwanaume unakufa kiume, sio hivi unavyofanya. Ulaghai ulaghslai tu. Nitashangaa sana kama ccm watahadaika na huu ulaghai wako wa kutafuta cheo! Nadhani walishskugundua, ndio maana wamekupuuza.
Halafu umemtetea Magu eti sio dikteta halafu mwisho unasema chadema wadai haki na demokrasia bila "kutukana". Yaani hapa umekubali kwamba hakuna haki navdemokrasia. Sasa haki na demokrasia ikikosekana si udikteta huo? Anyway, hope Magu amekusikia atakufikiria.
Sincerely, unatia kinyaa. Mwanaume gangamala. Usimwige Juliana Shonza yeye ni mwanamke, kaka!
 
Mpendazoe nisaidie hapa:
- Hii JPM unayoitaja hapo juu ni ipi?? Ndo ile ya T. Lissu??
Pamoja na hayo umepotea sana mkuu, mpaka umesahaulika kwenye teuzi muhimu.
Hivi Kwanini Ma mangi Wengi Mnamponda Magu, Mlikuwa Na Agenda Gani Ya Siri Uchaguzi Uliopita?
 
Mpendazoe tutolee uongo na kujikomba kwako Kwa Watawala ili upate vyeo...
Magufuli hakushinda kihalali na ndo maana anaogopa mikutano ya kisiasa.
Tume ya uchaguzi siyo huru kabisa, ipo mikononi mwa ccm... hata iweje mpinzani hawezi kwenda ikulu Kwa tume mbovu ile na katiba mbovu.

Nyie wanasiasa wengi ni wanafiki Sana ukiwemo na wewe Mpendazoe...
Hamna lolote zaidi ya kushibisha mitumbo yenu... Laana i juu yenu nyie watu.
Mmekuwa mnajikomba kupindukia hadi rais anaboronga mnamwangalia tu na kusifia mambo ya hovyo anayofanya.

Eti watu wameficha pesa kwenye magodoro, hivi karne hii ya 21 kuna mtu intellectual kweli anaweza kuficha pesa ndani?

Rais amezitoa pesa zote kwenye mabenki... na kuzipeleka BOT ambako zimekaa tu bila kuzunguka na kuinua uchumi.

Madeni ya ndani hajalipa na matokeo yake pesa za serikali amezitoa kwenye mabenki ambayo yalikuwa yanazungusha na kukopesha wajasiriamali wadogo.
Leo hii mabenki yamesitisha kukopesha Kwa Sababu pesa hamna zimechukuliwa na serikali.

Halafu Rais anakuja kusema kuwa wanaolalamika na ukata ni wale waliozoea kupiga dili.
Sasa wewe Mpendazoe Nijibu swali langu, "Wakulima ambao mazao yao yameoza Kwa kukosa wanunuzi shambani na wao walikuwa wanapiga dili? "kiasi kwamba hadi mazao yakaoza?

Magufuli is not a material president, this reveals that not everyone is fit for presidency.
Badala ya kumshauri Rais na kuunda Cabinet nzuri ya kumshauri kuhusu mustakabali wa taifa nyie mmekalia chuki za kisiasa na kupinga kila hoja ya wapinzani hata Kama ni nzuri.
Nyie ni watu wa hovyo Sana na wanafiki wa hali ya juu, kwenu nyie ni ccm kwanza, siyo Tanzania.

Na ndo maana hamtaki kubadili katiba maana mnajua kuwa ndo itakuwa mwisho wenu.
Mmekuwa mkimpamba uongo Rais eti yeye ni chaguo la Mungu, Kama ni chaguo la Mungu Kwa nini anaogopa kukosolewa I na wapinzani?

Kama ni chaguo la Mungu Kwa nini anaogopa katiba mpya?
Mungu ni Mungu wa haki, mawazo si mawazo ya mwanadamu na njia si njia za mwanadamu.

Acheni unafiki wenu....
Wakati si milele ccm itaondoka tu...
 
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..

Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.

Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.

Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.

Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.

• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.

• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.

• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.

• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.

• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.

• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?

Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.

Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?

Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.

Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.

Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?

Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
Vijana wa Tanzania tunajiuliza pia, tunajifunza nini kwa watu wazima kama wewe ambao ni vigeu geu na wasaliti!?
 
Ni ngumu kumuaminisha mtu ya kua Nyekundu ni njano,
 
Umesahau hii na hii "Jpm hataki watanzania waajiliwe na Serikali yao"
 
sijui umelipwa bei gani....wewe...ila hongera maana unataka kusafisha machozi ya watanzania wanao lia bila kusikilizwa
 
umesikia habari ya milioni 10 za rushwa bungeni?
 
Back
Top Bottom