Je, huo nao ni ushujaa?

Je, huo nao ni ushujaa?

Huyo unaye msifia angekuwa ana shauriwa na kushaurika lugha za kejeli na kuitwa dikteta uchwara zisingekuwepo,wapinzani na watu wengine wanaotoa lugha kama hizo ni watu wazima,wenye akili timamu na wanaelimu nzuri pengine hata kumzidi mtu wako huyo unaye msifia,maana yake elimu siyo kwenda darasani tu,ni pamoja na kuwa na busara na hekima na jinsi unavyo tumia busara zako,wanayo yasema ujue kuwa yapo na wameshayaona.
 
Katika mitandao ya kijamii na baadhi yamagazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Wanachama hawa wamekamatwa kwatuhuma mbalimbal izikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamwekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongozanchi..

Serikaliya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.

Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.

Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.

Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikaliya JPM imeonyesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.

• JPM ameonye shadhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.

• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumiz imabaya ya madaraka.

• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzaniawengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.

• JPM ameweza kuchua maamuzi magumu, mfan elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.

• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.

• JPM anatekeleza vizuri iIlani yauchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongonza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yoyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikal ya JPM nidhahiri uzalendo wake unawalakini na nidhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wana mkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?

Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaaJe ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?
Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.

Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa ?

Je kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa?.
Hapana.

Wanacho kifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikaliya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijanawamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye nimsema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.

Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayo mwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi. Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Je ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?

Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.

Sidhani kama umetumia ......zako kusema uliyosema, mpaka unatoa mfano wa uchaguzi wa USA wakati ninyi mnafuta uchaguzi mkiona mnashindwa!
 
hivi ni mpenda zoe au mpenda dezo. jaribu kuwapa somo wanaochukua m10 ili wapitishe kitu kwa manufaa yao. pia mshauri mkulu kuwa uongozi ni hekima na busara hivyo asikilize hata adui zake
 
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..

Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.

Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.

Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.

Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.

• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.

• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.

• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.

• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.

• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.

• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?

Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.

Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?

Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.

Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.

Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?

Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
Yaani wewe ili angalau kujisitiri ungenyamaza kimya ili tukusahau. Wewe hata kinyonga ana nafuu. Ulianza kutika ccm CCM kwa mgongo wa CCJ akina Six walipokutosa ukahamia CDM na kuandika makala nyingi na kitabu kuiponda CCM ghafla tena umerudia matapishi yako. Huaminiki!
 
Wana JF tuwe na heshima kwa "WABUNGE" wetu wastaafu jamani, looo! yaani mnarusha makavu makavu kiasi hicho!
 
Hivi hata baada ya mwaka mmoja kupita bado haijawaingia kwenye akili zenu kua zama za fedha za wizi hazipo tena?
 
Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yanaandika Sana kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusu na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani.

Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal zikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongoza nchi..

Serikali ya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyo ni halali. Hivyo serikali ya JPM siyo ya dikteta.

Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali. Hivyo hoja hizi hazina mashiko.

Kibaya zaidi Upinzani leo, hasa Chadema hauishauri serikali bali unaitukana na kuikejeli.

Hata hivyo, kwa muda mfupi, serikali ya JPM imeonesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa watanzania.

• JPM ameonesha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.

• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.

• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzania wengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.

• JPM ameweza kuchukua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.

• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.

• JPM anatekeleza vizuri ilani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongoza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yeyote anayenung’unika kwa hatua hizo zilizochukuliwa na serikali ya JPM ni dhahiri uzalendo wake una walakini na ni dhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au maslahi ya kikundi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wanamkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA. Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?

Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa. Je, ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Wapo wanachama wa Chama kimoja wanaodhani kuwekwa rumande mara Kwa mara ni ushujaa.

Ushujaa wao uko wapi? Je kukamatwa na kuwekwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je, kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa?

Je, kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa? Hapana.

Wanachokifanya wanachama hawa ni uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuinge mkono serikali ya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wamarekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye ni msema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano.

Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayomwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi.Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.

Je, ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?

Je haiwezekani kudai haki nademokrasia bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi.
Hata sasa inawezekana kudai haki, kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Na mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.
Sijakuelewa.....
 
mpenda Zoe umejidhalilisha sana lakini nimejikuta nikisita kuendelea kukoment baada ya kujua kuwa na wewe ni ccm ..unasubiri mmoja atumbuliwe ukae hapo maana ndio pekee mnachokitafuta...

kila kheri!!
 
Kiongozi gani anaomba watu wamwombee wakati wote but akipewa maono ya maombi kwake ni haramu? Huyu mtu sio mpango wa Mungu hata kidgo. Angalia mateso wanayoyapata watanzania maskini huku nyie mnaonyemelea nafasi za uteuzi mkipotosha watu humu.
 
Hivi wewe si mtaalam wa mazingira? Shinyanga yote karibia itakuwa jangwa hebu kajikite huko utuokolee kizazi. Siasa za woga zimepitwa na wakati hazitakiwi kurejeshwa kwa mlango wa nyuma. Uhuru wetu wa kikatiba wa mikusanyiko kamwe usipokwe kwa visingizio vyovyote vile. Tunataka mikutano tuikemee wazi wazi rushwa ya milioni kumi kumi iliyogawiwa wabunge wa CCM. Achana na siasa za kumtetea wa nyumbani, nafasi za uteuzi zimewisha na kuuotesha mkia siyo kazi rahisi.
 
Back
Top Bottom