Je, Humprey Polepole yuko hai? Ataachiwa!?

Je, Humprey Polepole yuko hai? Ataachiwa!?

💩💩💩💩
 
Hakuna risk yeyote. Wangapi walitikisa serikali/CCM wakachimbwa biti waliporudi kitaa wakakaa kimyaa mazima. Binafsi nawashauri wamwachie tu hana madhara. Ni vile waafrika tuna unyani nyani fulani wa kukikimbilia kuumizana kwa mambo madogo. Hata zile lectures zake mbona zilikua za kupuuza tu.
We unavaa uhusika wa nan mpaka uone kama hakuna risk? Kuna watu wamejivika utakatifu pale kazingua pakubwa sana. Na kuna baadhi ya maneno yake yanaonkana kabisa yamesimamia mtifuano usio na kikomo na serikal hadi itoke madarakani.

Umemuona Sativa? Unajifunza nn kutoka kwake?
 
Kwani yupo hai kweli
 
Kwa kitendo walichokifanya kwa Mzee Kibao na wale wa maandamano, hakuna aliyebaki hai; si Polepole, si Soka, si Mdude, ndio imetoka hiyo. Na sasa sijui imewasaidia nini hawa wapumbavu! Maana kuongea ndio kwanza kumezidi. Taifa limekuwa lina hasira mara elfu ya wakati hao watu walipokuwa hai. Vijana wanaongea mpaka inatia hasira.

Yani hawa decision making processes zao zinakera, ni wajinga wajinga. Yani mtu alikuwa akiongea tu, basi tuhesabu kasheshe! Wametufikisha pabaya sana. Laana ya kuua watu iwapate wao na familia zao, kwa kila aliyehusika na hata chembe ya decision. Wadhalilike tukiwaona hapa hapa duniani.
 
Inavyoonekana polepole Bado yupo hai na watekaji hawataki kumuua Kwa sababu wamemuona ni hazina.changamoto wanahaha namna ya kumwachia Kwa kuwa atakuja kuyaongea maovu ya watekaji Kwa wananchi.Hii ni Kwa mjibu wa mchangia mada kwenye kijiwe Fulani Cha kahawa chetu.
 
Back
Top Bottom