Je, Humprey Polepole yuko hai? Ataachiwa!?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,401
Kuielewa mada hii pitia hii kwanza kisha ndio uendelee

Kwa hali ilivyo ni wazi kwamba aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Cuba alitekwa na 'wasiojulikana' baada ya kuwabagaza vilivyo

Swali muhimu je bado yuko hai? Na kama yuko hai je kuna siku ataachiwa?

Jana kaka yake katoa 'ultimatum' ya masaa 24 mdogo wake aachiwe la sivyo asije akalaumiwa maana yake atalipa kisasi

Ameenda mbali zaidi kwa kuthibitisha kwamba mdogo wake yuko hai na anashikiliwa kwa amri ya mtu aliyemtaja kwa jina lake!

Kama ni kujiamini huko kumepitiliza na sidhani mama ni mkwara mbuzi

Kwa hulka ya utekaji ni vigumu sana mateka kupatikana akiwa hai

Mateka si mzigo kwamba unaweza kukaa nao kwa muda mrefu ukiwa umeificha mahali.. Mateka wa kuachiwa hapaswi kushikiliwa kwa muda mrefu kwakuwa ni gharama na risk ni kubwa. Huku akihitaji timu ya kumhudumia mahitaji muhimu na ya lazima mama
Chakula/ vinywaji
Matibabu
Ulinzi

Mateka wa muda mrefu hana tofauti sana na mfungwa wa kunyongwa... Kati ya watu wanaomhudumia kila siku hufika mahali hofu ikawatoka na kuanza kujenga mazoea

Mateka wa namna hugeuka kuwa na ushawishi wa ajabu kwa baadhi ya watu wanaomhudumia na kujikuta automatically wanatengeneza bond inayozaa huruma na utu.. Rejea simulizi ya askari mmarekani aliyekuwa akimlinda Saddam Hussein

Rejea pia mabinti mateka walioolewa na askari wa boko haram waliokuwa wakiwalinda

Wametekwa wengi, waliofanikiwa kupatikana wakiwa hai ni wale walioachiwa baada ya muda mfupi ama waliopelekwa mahabusu za polisi baada ya muda mfupi

Kwa kipindi alichoshikiliwa Polepole kama bado yuko hai
Je keshakutana na mangapi?
Je keshakutana na wangapi?
Je keshafahamu mangapi?
Je kupitia "fatal mistakes" kama kuitana majina halisi na kutaja maeneo halisi ama kutamka mambo bila kutarajia.. Kumemfaidisha mtekwaji kiasi gani?
Je ninini hasara/faida za kumwachia? Hazitakuwa "grave mistake" kea wahusika?
Je ninini faida/hasara za kuendelea kumshikilia?

Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu kifo.. Ni sawa na supu ya umbwa! Inanywewa ya motomoto ikipoa hainyweki.. Adhabu ya kifo ikitolewa isipotekelezwa haraka.. Huweza kubalitishwa na kuwa kifungo cha maisha ama vinginevyo

Vivyo hivyo kwa mateka aliyeshikiliwa kwa muda mrefu.. Lile roho la kummaliza hushikwa na tahayari na kujikuta kila uchao mpango unaahirishwa!

Kwa hali hii je Polepole atakuja kuonekana tena akiwa hai? Na nini kitatokea kama atapatikana akiwa hai? Huu unaweza kuwa muujiza mwingine!
 
Risk za kumuacha polepole ni kubwa kuliko kuondoka nae mazima. Hii ni kwa hesabu za kijeshi/kipolisi/kijambazi au kioperesheni zisizojulikanwa. Polepole ndo limebakia jina tu hawez kupatikana nisikilizeni mm.

Na kama kaka yake anajua alipo, simple apataje ili watu wakiandamana D9 wakamtoe. Narudia tena risk ya kumuacha jamaa ni kubwa more than 100 timez.
 
Wenye nia njema nae japo kuna Wapumbavu mnatudharau humu tulipokuwa tukimshauri kwa uzuri tu hadi kuanzisha Mada za kumsihi si mlikuwa hamtuelewi? Nimetukanwa na Kudhihakiwa mno hapa kwa Mada zangu mbili tatu za Kumsihi na Kumuonya huku nikimtaka abadilishe Strategies zake kwani alikokuwa akipambana napo hapajawahi Kushindwa hata kwingineko duniani na asisahau pia kuwa alishakula Kiapo ambacho logically tu ukienda nacho Kinyume hakuna msalia mtume zaidi ya Kuondoka mazima na kuwaacha Wanafiki duniani wakijifanya Kukulia na Kinafiki kabisa kukuita Shujaa wakati hata Vita ulivyokuwa ukivipigana vilikuwa ni vya Kitoto na visivyokuwa na Malengo na Maandalizi ya Kimbinu. Endeleeni kututukana, ila wengine hatujawa akina ''Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer'' hivi hapa JamiiForums kimakosa.
 
💩💩💩💩
 
Risk za kumuacha polepole ni kubwa kuliko kuondoka nae mazima. Hii ni kwa hesabu za kijeshi/kipolisi/kijambazi au kioperesheni zisizojulikanwa. Polepole ndo limebakia jina tu hawez kupatikana nisikilizeni mm.

Na kama kaka yake anajua alipo, simple apataje ili watu wakiandamana D9 wakamtoe. Narudia tena risk ya kumuacha jamaa ni kubwa more than 100 timez.
Hakuna risk yeyote. Wangapi walitikisa serikali/CCM wakachimbwa biti waliporudi kitaa wakakaa kimyaa mazima. Binafsi nawashauri wamwachie tu hana madhara. Ni vile waafrika tuna unyani nyani fulani wa kukikimbilia kuumizana kwa mambo madogo. Hata zile lectures zake mbona zilikua za kupuuza tu.
 
Nyakati hazifanani na mazingira ni tofauti kabisa!
 
Kuielewa mada hii pitia hii kwanza kisha ndio uendelee

Kwa hali ilivyo ni wazi kwamba aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Cuba alitekwa na 'wasiojulikana' baada ya kuwabagaza vilivyo

Swali muhimu je bado yuko hai? Na kama yuko hai je kuna siku ataachiwa?

Jana kaka yake katoa 'ultimatum' ya masaa 24 mdogo wake aachiwe la sivyo asije akalaumiwa maana yake atalipa kisasi

Ameenda mbali zaidi kwa kuthibitisha kwamba mdogo wake yuko hai na anashikiliwa kwa amri ya mtu aliyemtaja kwa jina lake!

Kama ni kujiamini huko kumepitiliza na sidhani mama ni mkwara mbuzi

Kwa hulka ya utekaji ni vigumu sana mateka kupatikana akiwa hai

Mateka si mzigo kwamba unaweza kukaa nao kwa muda mrefu ukiwa umeificha mahali.. Mateka wa kuachiwa hapaswi kushikiliwa kwa muda mrefu kwakuwa ni gharama na risk ni kubwa. Huku akihitaji timu ya kumhudumia mahitaji muhimu na ya lazima mama
Chakula/ vinywaji
Matibabu
Ulinzi

Mateka wa muda mrefu hana tofauti sana na mfungwa wa kunyongwa... Kati ya watu wanaomhudumia kila siku hufika mahali hofu ikawatoka na kuanza kujenga mazoea

Mateka wa namna hugeuka kuwa na ushawishi wa ajabu kwa baadhi ya watu wanaomhudumia na kujikuta automatically wanatengeneza bond inayozaa huruma na utu.. Rejea simulizi ya askari mmarekani aliyekuwa akimlinda Saddam Hussein

Rejea pia mabinti mateka walioolewa na askari wa boko haram waliokuwa wakiwalinda

Wametekwa wengi, waliofanikiwa kupatikana wakiwa hai ni wale walioachiwa baada ya muda mfupi ama waliopelekwa mahabusu za polisi baada ya muda mfupi

Kwa kipindi alichoshikiliwa Polepole kama bado yuko hai
Je keshakutana na mangapi?
Je keshakutana na wangapi?
Je keshafahamu mangapi?
Je kupitia "fatal mistakes" kama kuitana majina halisi na kutaja maeneo halisi ama kutamka mambo bila kutarajia.. Kumemfaidisha mtekwaji kiasi gani?
Je ninini hasara/faida za kumwachia? Hazitakuwa "grave mistake" kea wahusika?
Je ninini faida/hasara za kuendelea kumshikilia?

Kuna kitu cha kushangaza sana kuhusu kifo.. Ni sawa na supu ya umbwa! Inanywewa ya motomoto ikipoa hainyweki.. Adhabu ya kifo ikitolewa isipotekelezwa haraka.. Huweza kubalitishwa na kuwa kifungo cha maisha ama vinginevyo

Vivyo hivyo kwa mateka aliyeshikiliwa kwa muda mrefu.. Lile roho la kummaliza hushikwa na tahayari na kujikuta kila uchao mpango unaahirishwa!

Kwa hali hii je Polepole atakuja kuonekana tena akiwa hai? Na nini kitatokea kama atapatikana akiwa hai? Huu unaweza kuwa muujiza mwingine!
Waulize wahuni wenzake
 
Back
Top Bottom