GE2025 Je, hoja za Polepole zinajibika?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hoja za Jana za Polepole ni nzito kupita Maelezo zinampa tahadhari Samia kuachia ngazi vita asiyoiweza dhidi ya mtandao badala yake aurudishe mchakato mzima kwa WanaCCM ambapo ana uhakika kambi ya Polepole inanguvu mbele ya Wanachama, Endapo Samia atashupaza akila basi itabidi akubali kuwa yuko hatarini kutoka kwa wana mtandao na watu wengine wanaotaka mabadiliko.

Jambo baya ninaloliona kwa CCM kwa sasa inawezekana hawa akina Warioba wataungana na Akina heche na matokeo yao hii Elimu itahamia Jeshini
 
Mwl. Nyerere alisema mpinzani wa kweli atatoka CCM. Polepole azibezwe eti size yake doto magari,really. CCM ilikosea sana kumfanya ponjoro kuwa mweka hazina wa chama. Salome Mbatua yuko wapi?
 
Pascal Pole pole kwa hali ilivyo si wa kubeza hata kidogo.. Mambo anayoyafunua ni elimu inayopandikiza uasi utakaodai actions na mabadiliko ndani ya ccm.. Mafunuo yake si ya kubeza hata kidogo! Hii August itakuwa ya moto sana chamani
Watanzania si unawajua lakini, ni maneno mengi, but when its time to take action.... Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
p
 
NRNE haijapoa bali shughuli za kichama zimepigwa kitanzi na mamlaka kwa kuhofia moto wake.. Wamwachie mwenyekiti na waruhusu CHADEMA kiendelee na harakati zake muone
Hapa napata picha, Lissu alivyochaguliwa tu alianza kwenda kwa mzee Warioba, kwanini mzee Warioba na waliongea nini zaidi?
 
Na akina chuembe waje wajibu
 
Jambo baya ninaloliona kwa CCM kwa sasa inawezekana hawa akina Warioba wataungana na Akina heche na matokeo yao hii Elimu itahamia Jeshini📌🔨
 
Hapa napata picha, Lissu alivyochaguliwa tu alianza kwenda kwa mzee Warioba, kwanini mzee Warioba na waliongea nini zaidi?
Ukimsikiliza Pole pole vizuri Mzee Warioba kuna codes anazo lakini anachezesha low profile na kwa umakini mkubwa sana
 
Mwl. Nyerere alisema mpinzani wa kweli atatoka CCM. Polepole azibezwe eti size yake doto magari,really. CCM ilikosea sana kumfanya ponjoro kuwa mweka hazina wa chama. Salome Mbatua yuko wapi?
Salome "alikufa kwa ajali" akitokea Dodoma akiwa kwenye Nissan patrol..
 
Agreed, zinajibika, pengine si hoja na nukta za maongezi yake
 
Polepole amelonga.
Hoja zake hazijibiki kwa vijembe vya MACHAWA.
Rostam Azizi hawezi kughani mashairi ya polepole hadharani
 
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Hivi kibajaji baada ya kujitoa mhanga kule Dom ndo kaamua kuufyata kabisa asije akawa mfunga paka kengele?ila nauhakika ingekuwa si muelekeo wa uchaguzi Polepole angepambana na missiles toka pande zote lkn kwa kuwa wako kwenye foleni ndefu ya kusaka tonge wame mute!
 
Hapa umetizama vibaya, kanuni nyingine ni kwamba sio lazima mbuyu ukatwe bali uoze uanguke wenyewe tu. Afanyalo ni kuufanya uoze wenyewe. Only God remains forever
 
waTanzania hatujawahi kujaribiwa kiwango chetu cha Ujinga miaka ya karibuni.
Huu mwaka ,ghafla, tunapewa mtihani mkubwa kiasi hiki.Aliyekuwa Muenezi wa chama Leo ,kirahisi kibisa, Ndugu Rostam anasema kuwa aliokotwa,haijui CCM,...duh ...hata waliokuwa wamelala kule kijijini watataka kujua kulikoni.
 
😁😁😁😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…