Je, Hili si Tamko tata kwa RC Mwanza?

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Tamko na Msimamo wa RC Mwanza Mh. Evarist Ndikilo kuhusu dini fulani kuwa na haki na stahili ya kuchinja wanyama wa kitoweo linatupa picha na Maswali yafuatayo:-
1. Je, serikali ya Tanzania ina Dini fulani inayosimamia misimamo na matamko ya Viongozi wa Taifa.
2. Je, Katiba ya Tanzania ina kifungu kinachotoa haki kwa dini fulani kuchinja wanyama na dini nyingine hapana?
3. Je, tamko na msimamo huo wa RC Mwanza juu ya haki na stahili ya dini fulani kuchinja ndiyo msimamo wa serikali ya Tanzania?
4. Je, ni lini imetungwa sheria na kanuni inayosimamiwa na dola juu ya haki na mipaka ya dini fulani kuchinja wanyama kwa ajili ya Kitoweo?
Wadau wenye uelewa na hili watoe ufafanuzi tafadhali.
 
tamko na msimamo wa rc mwanza mh. Evarist ndikilo kuhusu dini fulani kuwa na haki na stahili ya kuchinja wanyama wa kitoweo linatupa picha na maswali yafuatayo:-
1. Je, serikali ya tanzania ina dini fulani inayosimamia misimamo na matamko ya viongozi wa taifa.
2. Je, katiba ya tanzania ina kifungu kinachotoa haki kwa dini fulani kuchinja wanyama na dini nyingine hapana?
3. Je, tamko na msimamo huo wa rc mwanza juu ya haki na stahili ya dini fulani kuchinja ndiyo msimamo wa serikali ya tanzania?
4. Je, ni lini imetungwa sheria na kanuni inayosimamiwa na dola juu ya haki na mipaka ya dini fulani kuchinja wanyama kwa ajili ya kitoweo?
Wadau wenye uelewa na hili watoe ufafanuzi tafadhali.

amepotoka
 
Pamoja na kuwa mkristo wa iman kali sion tatizo ktk waislam kufanya hyo kazi, watanzania tukiruhusu hali hyo tunazid jimaliza.ni mara ngapi hata majumban tunatafuta waislam wa kutusaidia kuchinja hata wakati wa sikukuu ya kidin,ni kuweka mazingira ya ujiran kwamba hata akija mgen wa iman hyo awe huru kushirik chakula na lililo jema kwakuwa kwetu sio dhambi kula mnyama aliyechinjwa na mtu asiye mkristo basi hatuna haja ya kuleta chokochoko.mi sion hatari kuvaa kanzu ktk mwaliko wa shughuli ya kiislam kwakuwa iman yangu haijanikataza kwa maana ya kunizuia kuvaa nguo ambazo pia zinavaliwa na waislam na sitamhukumu mwenzangu atakapoacha kuvaa msalaba akifika ktk shughuli ya kikristo kwakuwa iman ake haimruhusu.ndo upendo wa kweli ambao kwetu wakristo ndiyo amri kuu!
 
swala la kuridhia waislamu kuchinja liachwe liendee kama kawaida, sababu akichinja mkirsto hawali sasa kwa nini kuwaghafirisha.

tujielekeze kuiondoa ccm madarakani kila tunapopata fursa.
 
Hapa swala si kuchinja tu bali nafikiri kuna kingine kimejificha nyuma ya pazia.
Viongozi wasipokuwa makin tutafika mahali kutakuwa na mabasi ya wakristo na waislam.
 
mimi sina tatizo na muislam kuchinja lakini kwangu nachinja mwenyewe na tena mara nyingi mke wangu ndo anachinja kuku..ukitaka kula usipotaka tunakupa maji baridi ya kwenye friji..period
 
Hapa swala si kuchinja tu bali nafikiri kuna kingine kimejificha nyuma ya pazia.
Viongozi wasipokuwa makin tutafika mahali kutakuwa na mabasi ya wakristo na waislam.

Huyu bwana ndikilo, kwa kweli amepotoka pakubwa sana! na nijuavyo mimi huo ndo mwisho wake kwani amegusa mboni ya jicho la Mungu aliye hai. Nyie subirini tu kwisha habari yake huyo!
 
Pamoja na kuwa mkristo wa iman kali sion tatizo ktk waislam kufanya hyo kazi, watanzania tukiruhusu hali hyo tunazid jimaliza.ni mara ngapi hata majumban tunatafuta waislam wa kutusaidia kuchinja hata wakati wa sikukuu ya kidin,ni kuweka mazingira ya ujiran kwamba hata akija mgen wa iman hyo awe huru kushirik chakula na lililo jema kwakuwa kwetu sio dhambi kula mnyama aliyechinjwa na mtu asiye mkristo basi hatuna haja ya kuleta chokochoko.mi sion hatari kuvaa kanzu ktk mwaliko wa shughuli ya kiislam kwakuwa iman yangu haijanikataza kwa maana ya kunizuia kuvaa nguo ambazo pia zinavaliwa na waislam na sitamhukumu mwenzangu atakapoacha kuvaa msalaba akifika ktk shughuli ya kikristo kwakuwa iman ake haimruhusu.ndo upendo wa kweli ambao kwetu wakristo ndiyo amri kuu!
Wewe sio mkristo ila mujahidina usiyepima na kujua nini maana ya upendo na maana halisi ya ukristo!!wakristo wapo kabla hata kuwapo hao unawaita waislamu nani alikua anawachinja wanyama wao?Biblia imeandikwa sehemu gani kwamba wanyama wachinjwe na waislamu na kikubwa zaidi ni kwamba biblia haitambui uwepo wa dini ya kiislamu.mnyama wako umemtafuta kwa gharama yako alafu eti ukamtafute muislamu achinje...Kweli wewe na huyo mkuu wako wa mkoa mnakichaa kisichopona..Shame on you Ndikilo go to masjid and change your holy name have another controversial faith name!!!
 
Nimekasirishwa sana na huyu ndikilo inaonekana anajikomba sana kwa muislamu kikwete...Kimsingi hawa ndio viongozi wabovu wenye nia mbaya na amani ya nchi wanaofanya haya makusudi kwa maagizo ya Ccm maana anajua akisema hivyo lazima migogoro ya kidini itazuka na watu wataanza kuchukiana kwa misingi ya dini na huu ni mkakati maalumu wa Ccm kusambaratisha taifa maana kwa hapa Tz hakuna jambo la dini kung'ang'ania kuchinja ila kwakuwa wakristo ni wastaarabu na si wachoyo ktk sherehe zao huwapa waislamu wachinje ili na wao waislamu washiriki ktkt furaha za kijamii lakini haipaswi na haitatokea kuwa ndo sheria wa nchi hii..Huyu ndikilo hakika na mpuuzi na mwendawazimu kabisa inaonekana ana njaa ya ubwabwa wa magaidi ashibishe tumbo lake...Laana ya kaini na ikupate Ndikilo kwa kudharau kundi la Mungu Mkuu kwa kujivunia cheo cha kipuuzi ulicho nacho
 
unapofungua biashara ya bucha unatakiwa kuwa na leseni. leseni hii inakuruhusu kuhudumia watanzania wote bila kujali dini zao. ili kuwatolea mashaka waisilamu nyama iliyomo buchani imechinjwa na muisilamu au laa ni bora waendele kuwa ndio wachinjaji wetu. lakini kama unahamu mkristo kuchinja, chinja nyumbani kwako hakuna atakae kuja kukuuriza swali lolote
 
Huyu bwana ndikilo, kwa kweli amepotoka pakubwa sana! na nijuavyo mimi huo ndo mwisho wake kwani amegusa mboni ya jicho la Mungu aliye hai. Nyie subirini tu kwisha habari yake huyo!
nido tatizo la kandambili kukaa mahali pa kofia,hatuna viongozi sisi.
 
Tamko na Msimamo wa RC Mwanza Mh. Evarist Ndikilo kuhusu dini fulani kuwa na haki na stahili ya kuchinja wanyama wa kitoweo linatupa picha na Maswali yafuatayo:-
1. Je, serikali ya Tanzania ina Dini fulani inayosimamia misimamo na matamko ya Viongozi wa Taifa.
2. Je, Katiba ya Tanzania ina kifungu kinachotoa haki kwa dini fulani kuchinja wanyama na dini nyingine hapana?
3. Je, tamko na msimamo huo wa RC Mwanza juu ya haki na stahili ya dini fulani kuchinja ndiyo msimamo wa serikali ya Tanzania?
4. Je, ni lini imetungwa sheria na kanuni inayosimamiwa na dola juu ya haki na mipaka ya dini fulani kuchinja wanyama kwa ajili ya Kitoweo?
Wadau wenye uelewa na hili watoe ufafanuzi tafadhali.

Tamko na msimamo huo aliutoa lini na wapi?
 
Alitoa msimamo huo jijini Mwanza wakati akishiriki kikao cha usuluhishi kwa wakristo na waislam kuhusu suala la kuchinja. Wakristo wanadai kuchoka kuwavumilia waislam kuwa ndio wachinjaji wao, na kwa vile sheria ziko kimya ndo maana Ndikilo anashutumiwa kwa kupotoka. Fuatilia kwa neema fm 98.2 kila siku saa 2200hrs hadi 2300hrs
 
Mimi ninataka kujua mazingira yaliyomfanya huyu Eng. Ndikilo kutoa tamko hilo?!

Kama litafanywa kuwa sheria kuwa waislamu ndiyo wenye haki ya kuchinja wanayama litaleta rabsha.

Lakini kama litaachwa bila kutungiwa sheria busara tu ndiyo itumike kama ilivyo sasa hakutakuwa na taabu.

Hii ni mojawapo ya statement za hovyo kama ile ya Simbachawane aliyependekeza kung'oa mitambo yote ya kuchimba gesi kule Mtwara. RC hakuwa na haja ya kutoa kauli hii.
 
Alitoa msimamo huo jijini Mwanza wakati akishiriki kikao cha usuluhishi kwa wakristo na waislam kuhusu suala la kuchinja. Wakristo wanadai kuchoka kuwavumilia waislam kuwa ndio wachinjaji wao, na kwa vile sheria ziko kimya ndo maana Ndikilo anashutumiwa kwa kupotoka. Fuatilia kwa neema fm 98.2 kila siku saa 2200hrs hadi 2300hrs

Hapo Ndikiro anamakosa kwani nchi hii haina dini, so kila mmoja anaweza kujichinjia anavyotaka.
 
hapo ndikiro anamakosa kwani nchi hii haina dini, so kila mmoja anaweza kujichinjia anavyotaka.

iliwahi kutokea sumbawanga, kijana mmoja alifikishwa mahakaman, eti kwa kuchinja baadaye aliachiwa baada ya kugundulika hajavunja sheria yoyote. Na mkurugenzi aliwajibu wakristo wa sumbawanga kwa kuzingatia sheria ya mifugo na sheria ya vyakula na dawa ambazo zote hazimbagui mtu katika suala la kuchinja.
 
Hiki ki-enginer fake, mmekikawiza tu, mimi nasema hatumtaki tena kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza aende zake huko anakojikombea. TOKA NDIKILO NASEMA TOKA TENA TOKA haraka sana la sivyo nguvu ya wapenda amani na umoja wa kitaifa itakuondoa mara moja.

Tokaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Tamko na Msimamo wa RC Mwanza Mh. Evarist Ndikilo kuhusu dini fulani kuwa na haki na stahili ya kuchinja wanyama wa kitoweo linatupa picha na Maswali yafuatayo:-
1. Je, serikali ya Tanzania ina Dini fulani inayosimamia misimamo na matamko ya Viongozi wa Taifa.
2. Je, Katiba ya Tanzania ina kifungu kinachotoa haki kwa dini fulani kuchinja wanyama na dini nyingine hapana?
3. Je, tamko na msimamo huo wa RC Mwanza juu ya haki na stahili ya dini fulani kuchinja ndiyo msimamo wa serikali ya Tanzania?
4. Je, ni lini imetungwa sheria na kanuni inayosimamiwa na dola juu ya haki na mipaka ya dini fulani kuchinja wanyama kwa ajili ya Kitoweo?
Wadau wenye uelewa na hili watoe ufafanuzi tafadhali.
Yupo sahihi kabisa. maana si kila kitu kiwe kwenye katiba, mambo mengine yanahitaji busara tu.
 
Back
Top Bottom