tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,864
- 3,851
Tamko na Msimamo wa RC Mwanza Mh. Evarist Ndikilo kuhusu dini fulani kuwa na haki na stahili ya kuchinja wanyama wa kitoweo linatupa picha na Maswali yafuatayo:-
1. Je, serikali ya Tanzania ina Dini fulani inayosimamia misimamo na matamko ya Viongozi wa Taifa.
2. Je, Katiba ya Tanzania ina kifungu kinachotoa haki kwa dini fulani kuchinja wanyama na dini nyingine hapana?
3. Je, tamko na msimamo huo wa RC Mwanza juu ya haki na stahili ya dini fulani kuchinja ndiyo msimamo wa serikali ya Tanzania?
4. Je, ni lini imetungwa sheria na kanuni inayosimamiwa na dola juu ya haki na mipaka ya dini fulani kuchinja wanyama kwa ajili ya Kitoweo?
Wadau wenye uelewa na hili watoe ufafanuzi tafadhali.