tompoo
Member
- Jan 2, 2021
- 42
- 25
- Thread starter
- #21
well said ...Haya bhana..
Kuna siku niliwahi kusema kuna mtumishi walikuwa wanahimiza mwanaume awe na girl friend pia mwanamke awe na boy friend...nikauliza hapa huyu mtumishi si anahalalisha zinaa? Nakumbuka nilipingwa sana.
Kumbe haya mambo hayana urafiki...au sijui mchumba sijui nini piga ua lazima gono itembee tuu!
Cha muhimu kama mtu akiamua kuwa baridi ni kuwa baridi.......kama ni moto ni kuwa moto.
Jibu kwako mleta mada......Kaa myamalize,ikishindikana unajitoa polepole tuu itaeleweka mbele ya safari