Unadate na mtu kumbe habari zako kuna watu anawasimulia humu. Unashangaa unapigwa madongo unajiuliza hawa wamejuaje. Toka siku ile sitakag mazoea kabisa nje ya JF.Ilikuaje mrembo?
Utoto sasa huoUnadate na mtu kumbe habari zako kuna watu anawasimulia humu. Unashangaa unapigwa madongo unajiuliza hawa wamejuaje. Toka siku ile sitakag mazoea kabisa nje ya JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hamkupeana utamu jamani
Imagine! Hatukupeana ule wa kugusana, maana hatukuonana ana kwa ana. Tuliishia kushare picha na sauti tu.Kwamba hamkupeana utamu jamani [emoji848]
Ahsante Sana🤗😘😍😍@Saint Anne @yna2 @
Na Wengine Wachache ila hawa Wameiteka Cardiovascular system Yangu
OohImagine! Hatukupeana ule wa kugusana, maana hatukuonana ana kwa ana. Tuliishia kushare picha na sauti tu.
Ila utamu halisi nadhani ni furaha ya moyo ( the butterflies )- hizo zilikuwepo sana, hata yeye mwenyewe alikiri mara kwa mara kwamba mzuka umepanda.
@Rumaiya Kumbe ulibadili ID Mama...Ahsante Sana[emoji847][emoji8][emoji7][emoji7]
Ndiyo mpendwa.@Rumaiya Kumbe ulibadili ID Mama...
You are Simply Missed Asf
Shukran MkuuNdiyo mpendwa.
Ahsante Sana barikiwa mwaya.
Kwanini ibaki story wewe na J jamani?Hongera walau ulipiga hatua moja mbele.
Mie mdau wangu niliyemuongelea akili yake ina uwezo mkubwa wa kupambanua mambo haraka mno, imebidi niandike kwa tahadhari kubwa na nitumie ID mbadala. Hapa nikithubutu kutaja tukio moja tu, lazima agundue namuongelea yeye. Sijui ingekuwaje kama tungepata fursa ku-consume lile penzi!
J jamani, so romantic, so briliant. Mwanadamu anayejitambua nafsi yake. Hatimaye imebaki stori.
Sijambo mtani pekee umebaki JF naona vijana wanapimana ubavu!Hujambo mtani pekee ulibaki JF
Hivi humu jf mimi tu ndio sina bahati au vp? Watu wanapendana , wanaachana hebu na mimi nipate mmoja basi tena nitampenda mpaka mwisho wa dunia.Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.
Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.
Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?