Je hii ni solution????

Ntakupitia but siku hizi kuna suti ya Tokyo . Nkute ushajiandaa. Nawe uvae kile kitenge chako cha Ghana.

kiko kwa fundi bado ananizungusha,ntavaa ile thatini ya kijani.
 
yaani nitumie miaka 16+2 shule leo binadamu tumekutana akiwa na meno 32 nje aniachishe kazi?

Kisa cha kuwa na mwanaume asiyejiamini ni nini?
Maana hapo ni 3 either mwanaume hajiamini au ni malaya anadhani kila mtu anafanya umalaya ofisini au kwenye biashara au mwanaume ni mfujaji anataka usiwe na kipato ili akucontrol tena hapo ndo anaanza kukunyanyasa hata hela ya chupi na pedi umuombe? Tena unakuta mijanaume mingine inaachisha wake zao kazi halafu yenyewe uwezo wa kumhudumia mke hawana au wanafanya makusudi......

Huwa siwaelewi wanawake wanaokubali hilo jambo......
 
Yeah, ni kweli Asnam, mfano ghafla akifa leo huyo MUME na mama watoto alishaachishwa kazi, itakuaje??

Atakula mafao ya mme wake! Halafu kuanza kuwaza misiba hayo ndio mawazo mugando; na akifaa mwanamke je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…