Je hii ni solution????

Kuna wengine nawasubiri hapa, halafu nitakuwa nawakumbusha maana tulibishana sana kwa hoja nakumbuka.

siku hazitabiliki kuna wakati utalazimika kuwa idealistic na kuna wakati unakuwa materialistic,hata siku moja usimruhusu adui yako akukaririe mbinu za mashambulizi utakufa mapema.
 
ni upepo tu umeshapita mkuu,mie huo ujinga sifanyi maisha ya sasa bila ushirikiano mtaishia kulipa bills na kodi ya pango bila hata kujenga kibanda chenu.
siku hazitabiliki kuna wakati utalazimika kuwa idealistic na kuna wakati unakuwa materialistic,hata siku moja usimruhusu adui yako akukaririe mbinu za mashambulizi utakufa mapema.

Nashukuru kwamba angalau leo umeonesha uhalisia best. Huwezi kuwa na ndoa halafu vipato vikatumiwa kibinafsi sababu ikiwa eti mume ndiye kichwa cha familia basi abebe majukumu yote.
Nawasubiri King'asti, MadameX pia waje hapa.

Hahaha halafu kama umekumbuka vile, maana collectively niliwaita Material Girls!!!
 
Last edited by a moderator:
siku hazitabiliki kuna wakati utalazimika kuwa idealistic na kuna wakati unakuwa materialistic,hata siku moja usimruhusu adui yako akukaririe mbinu za mashambulizi utakufa mapema.

Ndo maana nimesema kuwa viumbe nyie hamtabiriki
 
Nashukuru kwamba angalau leo umeonesha uhalisia best. Huwezi kuwa na ndoa halafu vipato vikatumiwa kibinafsi sababu ikiwa eti mume ndiye kichwa cha familia basi abebe majukumu yote.
Nawasubiri King'asti, MadameX pia waje hapa

kwikwikwikwikwi,mwanamke mjinga huibomoa ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe nijikute tu nakuwa kundi hilo,mie najenga juu ya mwamba hata masika hayanitishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…