Je hii ni kawaida?

Je hii ni kawaida?

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Naombeni msaada wa mawazo.

Sijui nifanyeje mwanzo nilikua natabia ya kuota na sex na mwanaume lakini ninakama mwaka naota nasex na mwanamke mwenzangu nimejaribu kuomba hali hiyo inapotea kama siku 2 inarudi tena. Hii imenipelekea kuvuruga mahusiano yangu mengi.

Ninaweza pata mchumba tukavuragana bila sababu ya msingi hata kama tutakua tumetambulishana hata kutolewa mahari.

Nimekua na bahati ya kupata wachumba lakini mambo yamekua yakivunjika bila hata sababu yoyote.

Ndugu naombeni msaada wa mawazo hata ushauri pia kweli ninatatizo sana nashindwa nitoke vp nitashukuru
 
unaendekeza uma.laya tu, ndo maana unabadili wanamme. Bora ufuate ndoto zako uwe msagaji live live.

Acha kulala unawaza ngono, ukishindwa sana nyetuka.
 
naomben msaada wa mawazo
sijui nifanyeje mwanzo nilikua natabia ya kuota nasex na mwanaume lakin ninakama mwaka naota nasex na mwanamke mwenzangu nimejaribu kuomba hali hiyo inapotea kama cku 2 inarudi tena!!! hii imenipelekea kuvuruga mahusiano yangu mengi..... ninaweza pata mchumba tukavuragana bila sababu ya msingi hata kama tutakua tumetambulishana hata kutolewa mahari
nimekua na bahati ya kupata wachumba lakini mambo yamekua yakivunjika bila hata sababu yoyote
Ndugu naombeni msaada wa mawazo hata ushauri pia kweli ninatatizo sana nashindwa nitoke vp nitashukuru
Pole sana ni dalili mbaya hizo una Jini Mahaba mwilini mwako linakutia nuksi na bahati mbaya itabidi ufanyie dawa ilil apate kutoka mwilini mwako na asipo

toka hutoweza kuoelewa wala kupata mtoto. Na wakati mwengine anakugombanisha na wapenzi wako au marafiki zako anataka uwe

peke yako, pesa ukipata huwa hazikai unakuwa na hasira pasipo na sababu, siku zako za mwezi zinabadilika bila ya sababu muhimu

unachoka choka mwilini una gesi tumboni zisizo kwishaunakuwa mtu usiepata usingizi unakuwa wakati mwengine ni mtu mwoga makali

bila sababu unaumwa na kichwa kwa vipindi homa zisizo kwisha hizo ni baadhi ya dalili za kuwa wewe una Jini mahaba. Ukitaka

matibabu kutoka kwangu nitafute kwa wakati wako ila kwa gharama ya pesa unaweza kunitafuta mimi bonyeza hapa.Mawasiliano

MziziMkavu popote ulipo tafadhali.
Mkuu Ndibalema Hujambo lakini?
 
unaendekeza uma.laya tu, ndo maana unabadili wanamme. Bora ufuate ndoto zako uwe msagaji live live.

Acha kulala unawaza ngono, ukishindwa sana nyetuka.

usiseme hivyo kweli ninatatizo nasio maraya napata mchumba kabisa na tunafikia process nzuri za kutaka kuoana vinaibuka vikwazo unakuta namkataa tu au yeye ananikataa bila sababu baadae kila mtu anaanza kujuta sasa umaraya wangu uko wapi???
 
Pole sana ni dalili mbaya hizo una Jini Mahaba mwilini mwako linakutia nuksi na bahati mbaya itabidi ufanyie dawa ilil apate kutoka mwilini mwako na asipo

toka hutoweza kuoelewa wala kupata mtoto. Na wakati mwengine anakugombanisha na wapenzi wako au marafiki zako anataka uwe

peke yako, pesa ukipata huwa hazikai unakuwa na hasira pasipo na sababu, siku zako za mwezi zinabadilika bila ya sababu muhimu

unachoka choka mwilini una gesi tumboni zisizo kwishaunakuwa mtu usiepata usingizi unakuwa wakati mwengine ni mtu mwoga makali

bila sababu unaumwa na kichwa kwa vipindi homa zisizo kwisha hizo ni baadhi ya dalili za kuwa wewe una Jini mahaba. Ukitaka

matibabu kutoka kwangu nitafute kwa wakati wako ila kwa gharama ya pesa unaweza kunitafuta mimi bonyeza hapa.Mawasiliano

Mkuu Ndibalema Hujambo lakini?

baadhi ya dalili ni kweli!! bt nimelipata wapi?
 
umeachana na wa ngapi?

Kwa mtindo huu utapigishwa tunguri hivi karibuni.

usiseme hivyo kweli ninatatizo nasio maraya napata mchumba kabisa na tunafikia process nzuri za kutaka kuoana vinaibuka vikwazo unakuta namkataa tu au yeye ananikataa bila sababu baadae kila mtu anaanza kujuta sasa umaraya wangu uko wapi???
 
acha kulala unawaza ngono.

Kabla hujaingia kwenye mahusiano mapya, hakikisha sababu zinazokuingiza kwenye mahusiano hayo ni sahihi.

Sio unatongozwa tu, unakubali hata bila kujua unakubali nini. Utaishia kumegwa, unakuwa frustrated unaanza kusaka mchawi.

Unajiroga mwenyewe kwa kuanzisha mahusiano unstable huku ukitarajia ndoa.

lakini mi nimeomba msaada wa mawazo na ushaur pia hata ww unaweza kunishaur
 
acha kulala unawaza ngono.

Kabla hujaingia kwenye mahusiano mapya, hakikisha sababu zinazokuingiza kwenye mahusiano hayo ni sahihi.

Sio unatongozwa tu, unakubali hata bila kujua unakubali nini. Utaishia kumegwa, unakuwa frustrated unaanza kusaka mchawi.

Unajiroga mwenyewe kwa kuanzisha mahusiano unstable huku ukitarajia ndoa.

asante kwa ushauri
 
Usijaribu kuomba. OMBA. Kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote na kwa mwili wako pia. Funga na kuomba kwa dini yako, na utafute msaada wa viongozi wako wa dini. Usijiendekeze.
 
Usijaribu kuomba. OMBA. Kwa moyo wako wote, kwa akili zako zote na kwa mwili wako pia. Funga na kuomba kwa dini yako, na utafute msaada wa viongozi wako wa dini. Usijiendekeze.

asante!!!
 
baadhi ya dalili ni kweli!! bt nimelipata wapi?
Limekupenda hilo Jini Mahaba miaka mingi tu tangu ulipokuwa unasoma shule unaota unafanya mapenzi na mtu usiye mjuwa wakati unaota unafanya mapenzi na mpenzi wako wkati hauko pamoja nae na hata ukiwa na mpenzi wako mukiwa munafanya mapenzi utakuwa hujisikii raha kabisa.
 
Mkuu Ndibalema Hujambo lakini?
Mimi ni bukheri wa afya. sijui wewe mkuu?

Bila shaka mwanzisha mada atakuwa amejifunza mengi na atapata ufumbuzi wa tatizo lake.

Nilijifunza somo hilo kwa mara ya kwanza kutoka kwako hata hivyo nilisita kumfundisha mleta mada kwa kuhofu labda naweza nisimpe majibu ya kutosheleza kama wewe mwalimu ndio maana nikakwita mkuu.

Asante sana.
 
Dunia ya siku hizi Majini wanawapenda bindamu dunia ndio inakwenda zake ukingoni. Jini Mahaba ni Jini mbaya sana akikupenda umekwisha atakutia umasikini maisha yako yote utahangaika mpaka utakufa huna maendeleo yoyote yale ukiwa nae fanya juu chini umuondowe.
 
Dunia ya siku hizi Majini wanawapenda bindamu dunia ndio inakwenda zake ukingoni. Jini Mahaba ni Jini mbaya sana akikupenda umekwisha atakutia umasikini maisha yako yote utahangaika mpaka utakufa huna maendeleo yoyote yale ukiwa nae fanya juu hini umuondowe.
Ina maana mkuu hakuna hata faida chache za kuwa na huyo jini mahaba?
Na kwanini anakutia umasikini? yeye ananufaika nini na mtu kuwa masikini?
 
Duuu jamani, toeni ushauri na sio kumshambulia mtu kwa maneno ya matusi na kumumiza zaidi. Hata kama ni malaya mshauri kwani nalo ni tatizo la kushauriana kuliko kumshambulia kwa maneno mazito. Pole sana, jitahidi kuzidisha maombi Mungu atakusaidia mpendwa.
 
Ina maana mkuu hakuna hata faida chache za kuwa na huyo jini mahaba?
Na kwanini anakutia umasikini? yeye ananufaika nini na mtu kuwa masikini?
Faida yake kuwa na jini mahab ni wewe kumstarehesha wakati anapokutaka umstareheshe yeye hiyo ndio faida kwake sio kwako wewe. Anakutia umasikini ili usiweze kumtowa mwilini mwako kwa sababu anajuwa akikupa pesa utamfukuza na yeye hapendi kukuacha ndio anakutia wewe umasikini. Jini mahaba ana wivu mkali sana kuliko bindamu. Usiombe akupende Jini Mahaba umekwisha na maisha yako yote yataharibika.
 
Back
Top Bottom