Je hii ni kawaida?

Je hii ni kawaida?

Dunia ya siku hizi Majini wanawapenda bindamu dunia ndio inakwenda zake ukingoni. Jini Mahaba ni Jini mbaya sana akikupenda umekwisha atakutia umasikini maisha yako yote utahangaika mpaka utakufa huna maendeleo yoyote yale ukiwa nae fanya juu chini umuondowe.

Mkuu unachosema ni kweli,,hata mm nahisi nina tatizo hilo maana muda mwingine naota nafanya mapenzi na mtu ambaye ni marehemu,,ntakutafuta
 
acha kulala unawaza ngono.

Kabla hujaingia kwenye mahusiano mapya, hakikisha sababu zinazokuingiza kwenye mahusiano hayo ni sahihi.

Sio unatongozwa tu, unakubali hata bila kujua unakubali nini. Utaishia kumegwa, unakuwa frustrated unaanza kusaka mchawi.

Unajiroga mwenyewe kwa kuanzisha mahusiano unstable huku ukitarajia ndoa.

duh!!! naona umeamua kumkomalia huyu dogo!! alikuingilia nini?
 
MziziMkavu Binamu yangu alikuwa na uhusiano na msichana mmoja hivi...mwishoni mwa mwaka jana yule msichana alifariki...na jana binamu amenisimulia kuwa amemuota yule msichana amekuja kumfanyia vurugu akihoji kwa nini ana mwanamke mwingine!
Hii ina maana gani pliiiz
 
Last edited by a moderator:
naomben msaada wa mawazo
sijui nifanyeje mwanzo nilikua natabia ya kuota nasex na mwanaume lakin ninakama mwaka naota nasex na mwanamke mwenzangu nimejaribu kuomba hali hiyo inapotea kama cku 2 inarudi tena!!! hii imenipelekea kuvuruga mahusiano yangu mengi..... ninaweza pata mchumba tukavuragana bila sababu ya msingi hata kama tutakua tumetambulishana hata kutolewa mahari
nimekua na bahati ya kupata wachumba lakini mambo yamekua yakivunjika bila hata sababu yoyote
Ndugu naombeni msaada wa mawazo hata ushauri pia kweli ninatatizo sana nashindwa nitoke vp nitashukuru

Jitahidi kufanya real sex utaacha kuota.
 
MziziMkavu Binamu yangu alikuwa na uhusiano na msichana mmoja hivi...mwishoni mwa mwaka jana yule msichana alifariki...na jana binamu amenisimulia kuwa amemuota yule msichana amekuja kumfanyia vurugu akihoji kwa nini ana mwanamke mwingine!
Hii ina maana gani pliiiz
Ina maanisha kuwa yule Msichana (Spirit Ghost) Mizimu yake inamtembelea huyo binamu wako mwambie aende kwenye kaburi la huyo msichana akamuombee dua kisha aseme hivi (kaa hapo ulipo na tulizana kwa amani usinifuate tena) aseme mara 3 kisha atoke hapo kaburini asigeuke nyuma tafadhali Kim nana
 
Last edited by a moderator:
kidini tunasema kuwa ww utakuwa na jini mahaba hataki ww uolewe ndo maana anakutafutia sababu ili uachane na mchumba wako chaa kufanya nenda kwenye nyumba za ibaada na tafuta waombaji wakusaidie uepukaane na hali hiyoo
 
Pole...nenda ukaombewe halaf tafuta mtu awe anakupiga du.du vzr yote yataisha haya...ukikosa nipm nije kusimamia show mwnyw
 
Ina maanisha kuwa yule Msichana (Spirit Ghost) Mizimu yake inamtembelea huyo binamu wako mwambie aende kwenye kaburi la huyo msichana akamuombee dua kisha aseme hivi (kaa hapo ulipo na tulizana kwa amani usinifuate tena) aseme mara 3 kisha atoke hapo kaburini asigeuke nyuma tafadhali Kim nana

Thanks nitamwambia.
 
Last edited by a moderator:
pole...huku kuna changamoto kila mmoja anamawazo yake....

We kama ni muumini mzuri, (Kwanza kuwa muumini mzuri) Km ni muislam nenda kwa Sheikh akakuombee, kama ni Christian nenda kanisani ukaombewe...Hiyo ndiyo njia sahihi...Ila kwa hao wa tunguri sikushauri watakuhangaisha weee...mara leta hiki, mara hiki pengine wakuongezee lingine na matapeli wengi sana Wenzio wako kazini kusaka pesa...Hayo ni matatizo labda midudu mibaya kweli huwezi jua coz dunia ina mengi....Sali

*****************

lakini mi nimeomba msaada wa mawazo na ushaur pia hata ww unaweza kunishaur
 
acha kulala unawaza ngono.

Kabla hujaingia kwenye mahusiano mapya, hakikisha sababu zinazokuingiza kwenye mahusiano hayo ni sahihi.

Sio unatongozwa tu, unakubali hata bila kujua unakubali nini. Utaishia kumegwa, unakuwa frustrated unaanza kusaka mchawi.

Unajiroga mwenyewe kwa kuanzisha mahusiano unstable huku ukitarajia ndoa.

dizaini kama huamini kuna majini sio, SUBIRI
 
Naombeni msaada wa mawazo.

Sijui nifanyeje mwanzo nilikua natabia ya kuota na sex na mwanaume lakini ninakama mwaka naota nasex na mwanamke mwenzangu nimejaribu kuomba hali hiyo inapotea kama siku 2 inarudi tena. Hii imenipelekea kuvuruga mahusiano yangu mengi.

Ninaweza pata mchumba tukavuragana bila sababu ya msingi hata kama tutakua tumetambulishana hata kutolewa mahari.

Nimekua na bahati ya kupata wachumba lakini mambo yamekua yakivunjika bila hata sababu yoyote.

Ndugu naombeni msaada wa mawazo hata ushauri pia kweli ninatatizo sana nashindwa nitoke vp nitashukuru

"Na katika kila muombalo aminini kwamba mnapokea nayo yanakuwa kwenu",

Muombe Mungu sana ndugu yangu, maana dunia imechafuka
 
WADAU HIVI HAMNA SCIENTIFIC EXPLANATION YA HII CASE

HUYU DADA NAVIKIRI BAADAE ITAMPELEKEA KUWA NA SCHIZOPHRENIC CONDITIONS

USHAURI WANGU HII MADA YAKO IPELEKE JF DOCTOR ILI PRESCRIPTIONS ZIKA TAKE PLACE, NA PIA FANYA FASTER NENDA KWA MA PSYCHOTHERAPIST WAKAFANYE YAO

Kingine kuwa inaonekana una matatizo mawili
1:ndoto ambazo huzielewi
2:kuvunjika kwa mahusioano yako bila sababu

chakufanya ili upate tiba fanya kutatuza haya matatizo mawili separate then kila kitu kitakuwa ok.

bye.
 
Back
Top Bottom