Je, hii ndiyo nguvu ya Umma?

Kanuni inasemaje kuhusu idadi ya mafanikio ya maandamano? Umetuuliza tupe mwongozo, pia hatukuwepo kabla na baada ya mvua kunyesha na huo ni mkusanyiko wa njia zote za maandamano? Na huenda hapo waandamanaji walikuwa wanaanza kukusanyika pia hapo si Uyole.

Maandamano yakikosa watu ujue hayana ajenda ya majority support ni ajenda za watu wachache
 
Sisi kurusha Drone watasema tukaombe kibali Mamlaka ya Anga.

ahahahahahahaha kitengo cha mawasiliano chadema ni bure kabisa hata kuwa na camera zenye hadhi imeshindikana au ruzuku aliyokula Mwenyekiti ndani yake kulikuwa na hela za camera…?
 
Kwani wameandamana ili kuhesababu mahudhurio ya watu?.Hizi akili ndogo zinawasaidia nini nyie watu mlioshindwa kila sehemu baada yakukaa madarakani nusu karne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya chadema?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287

Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.

Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.

View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294

Je itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?

Leta maoni.
Sikiliza na Sauti katika video hii hapa, ambaya JF inaifuta kila nikiweka Uzi wake.

Anzia Dakika ya 17 kwenda 20

View: https://m.youtube.com/watch?v=dLCFUHE6oIA&pp=ygU5TGlzc3UgYW5hb25nb3phIG1hYW5kYW1hbm8gbWJleWEgd2F0dSB3YWZ1cmlrYSBiYXJhYmFyYW5p

Itoshe, ukisikiliza zaidi utasikia jinsi walivyo manipulate audio na kuweka Audio zinazosikika kama za EPL kuwa kama ni za Waandamanaji.
 
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287

Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.

Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.

View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294

Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?

Leta maoni.
Embu❌
Hebu✅

Soma hata swahili course kidogo.
 
Mrudishie Betina hela yake maana hizi picha za kufoji kazituma mwenyewe Insta kabla yako. Hapa umekula hela ya bure.
 
Ww kataa tuu ila huo ndio ukweli, 2025 ccm wasipoiba kura kama kawaida yao lazima tuingie Ikulu
Kwani CCM kushindwa uchaguzi ni mara moja?
!995 (Lyatonga)
2015 (CDM/Lowasa)
Wizi na ufisadi wa kura ndio tegemeo la CCM tu wakiwatumainia mapolisi na usalama
 
Wengine tunaamini hayo maandamano yana lengo na tunasubiri kuona kama lengo lake litatimia.
 
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287

Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.

Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.

View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294

Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?

Leta maoni.
Ndugu Mapesa unafikiri ni nguvu ya chawa au,nguvu za mwanga au upepo🤓
 
Ww kataa tuu ila huo ndio ukweli, 2025 ccm wasipoiba kura kama kawaida yao lazima tuingie Ikulu
Ndoto za mchana hizo hata CCM wakiweka andazi hamtoboi mlishindwa kipind cha mafuriko ya lowassa muwezi kipnd hich mnacho jichangnya wenywe? Nyiny ni Ahasante kwa kushiriki
 
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287

Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.

Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.

View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294

Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?

Leta maoni.
Mbona bado hamjasema? Mtaongea tuu
 
Back
Top Bottom