Je, hii ndiyo nguvu ya Umma?

Je, hii ndiyo nguvu ya Umma?

..Watz ndio tujitathmini.

..Matatizo yetu yatatatuliwa na nani?

..Ni lini Ccm itaheshimu na kusikiliza wananchi?
Hii ni hoja ya msingi.
Ni dhahir sisemu hawana mpango wala akili ya kutatua matatizo yetu watanzania. Chadema nao vile vile huoni kabisa wakiwa serious na kile wanafanya. Wanajarib jarib tu lakin ukichunguza jnaona kabisa hawana better plan..wanafanya mambi kimazoea
 
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287

Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.

Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.

View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294

Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?

Leta maoni.

Yah yah yah .... kwa hiyo drone za CCM zilikuwa zinafuatilia masaa yote.

Mbona ule msafafara aliokutana nao Biteko ulionekana kuwa umeshiba picha zake umezificha wapi au huko hamkupeleka drone...!!?
 
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287

Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.

Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.

View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294

Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?

Leta maoni.
Kama kilichoonyeshwa ni kweli basi chama kimechoka mno
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287

Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.

Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.

View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294

Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?

Leta maoni.
Duuh yamedoda balaa. Watanzania wamewapuuza. Watu kidogo namna hiyo?
 
ahahahahahahaha kitengo cha mawasiliano chadema ni bure kabisa hata kuwa na camera zenye hadhi imeshindikana au ruzuku aliyokula Mwenyekiti ndani yake kulikuwa na hela za camera…?
Ingia CHADEMA MEDIA ujionee mwenyewe.
 
Chadema sio relevant tena kwa Watanzania hili jambo hawataki kulikubali
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hii ni hoja ya msingi.
Ni dhahir sisemu hawana mpango wala akili ya kutatua matatizo yetu watanzania. Chadema nao vile vile huoni kabisa wakiwa serious na kile wanafanya. Wanajarib jarib tu lakin ukichunguza jnaona kabisa hawana better plan..wanafanya mambi kimazoea

..kwa hapa tulipofikia ni muhimu kuweka chama tofauti na Ccm madarakani.

..kinachoharibu nchi yetu ni imani waliyonayo Ccm kwamba hawawezi kutolewa madarakani.
 
..kinachoharibu nchi yetu ni imani waliyonayo Ccm kwamba hawawezi kutolewa madarakani.
Hapa mtazamo wangu ni tofaut kidog, nafikiri kinachoribu nchi yetu ni imani walio nayo wananch wengi juu ya ccm , kwamba hakuna chama kingine nje ccm kinachoweza ku perform mabadiliko.
Hii ndio iman mbaya ya wtu kuogopa na kuona kama wana msaliti nyerere. Hivyo ccm they are just taking advantage of this mindset walio nayo majority
 
Mkuu! Umuhimu ni kufikisha ujumbe!
Ulaya wanaandamana hata watu mia lakini ujumbe unazifikia mamlaka husika.
Afadhali wewe unakubali ukweli.Wenzako wanajaribu kufunika jua kwa ungo.
 
Back
Top Bottom