Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,133
- 24,541
Hujui hata maana ya umma mpuuzi weweNaomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya chadema…?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.
View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294
Je itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?
Leta maoni.