Basi endeleeni kusubiri..Hatuwezi fanikiwa kwa maandamano kama hoja haijaeleweka ama kupokelewa na jamii
Ila kaeni mkijua " a hungry man, is an angry man" (mtu mwenye njaa, ni mtu mwenye hasira).
Basi endeleeni kusubiri..Hatuwezi fanikiwa kwa maandamano kama hoja haijaeleweka ama kupokelewa na jamii
Kanuni inasemaje kuhusu idadi ya mafanikio ya maandamano? Umetuuliza tupe mwongozo, pia hatukuwepo kabla na baada ya mvua kunyesha na huo ni mkusanyiko wa njia zote za maandamano? Na huenda hapo waandamanaji walikuwa wanaanza kukusanyika pia hapo si Uyole.
Hizo za Drones ni za Awali kabla Maandamano hayajafika Viwanjani.
Mimi nilikuwepo Mkuu
Siyo kama wewe unayeokoteza picha mitandaoni
Sisi kurusha Drone watasema tukaombe kibali Mamlaka ya Anga.kama mnazo za drone mnaweza kushare za kwenu data haipingwi kwa maneno.
Sisi kurusha Drone watasema tukaombe kibali Mamlaka ya Anga.
Sikiliza na Sauti katika video hii hapa, ambaya JF inaifuta kila nikiweka Uzi wake.Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya chadema?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.
View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294
Je itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?
Leta maoni.
Kheri ya Lucas Mwashambwa kajikalia kimya kuliko wewe unayekataa ukweli, jiulize unafaidika nini?maandamano yakikosa watu ujue hayana ajenda ya majority support ni ajenda za watu wachache
Embu❌Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.
View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294
Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?
Leta maoni.
Mrudishie Betina hela yake maana hizi picha za kufoji kazituma mwenyewe Insta kabla yako. Hapa umekula hela ya bure.Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.
View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294
Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?
Leta maoni.
Kwani CCM kushindwa uchaguzi ni mara moja?Ww kataa tuu ila huo ndio ukweli, 2025 ccm wasipoiba kura kama kawaida yao lazima tuingie Ikulu
Ndugu Mapesa unafikiri ni nguvu ya chawa au,nguvu za mwanga au upepo🤓Naomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284
View attachment 2910285
View attachment 2910287
Picha hizo ni taswira ya uwanjani kabla ya mvua kunyesha.
Hizi ni baadhi ya picha za Barabara embu tuzitazame pia.
View attachment 2910289
View attachment 2910290
View attachment 2910291
View attachment 2910292
View attachment 2910293
View attachment 2910294
Je, itakuwa ni sahihi tukisema Chadema warudi mezani kuchora ramani yao upya …?
Leta maoni.
Shida yenu hamtaki kupingwa wala kukosolewa sasa nani awape uongoz watu aina yenu
Ndoto za mchana hizo hata CCM wakiweka andazi hamtoboi mlishindwa kipind cha mafuriko ya lowassa muwezi kipnd hich mnacho jichangnya wenywe? Nyiny ni Ahasante kwa kushirikiWw kataa tuu ila huo ndio ukweli, 2025 ccm wasipoiba kura kama kawaida yao lazima tuingie Ikulu
Mbona bado hamjasema? Mtaongea tuuNaomba kuuliza wanabodi kupitia picha hizi zinatoa tafsiri gani juu ya maandamano ya CHADEMA?View attachment 2910284