Je, hii ndio Rap Song of All Time kwa Bongo?

Je, hii ndio Rap Song of All Time kwa Bongo?

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,913
Reaction score
133,926

View: https://youtu.be/UiIa2i29PZ4?si=2FBzIVDQBmQWwV81

Sikiliza mistari, mstari kwa mstari

Sikiliza beat, sijui nani aliwatengenezea

Sikiliza Father Nelly(RIP) anavyonata na hilo beat

Sikiliza ujumbe mzito, ujumbe relevant mpaka leo

Ninazijua nyimbo zote za Rap toka 2010s kushuka chini. Nawajua wasanii wote wa Rap kuanzia 2010s kushuka chini.

Je, hii ndio ngoma kali ya Rap ya Muda Wote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom