Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

Hiyo ni kauli ya OIC, nchi ya kiislam lazima iwe na rais mwislam. siyo zamu hii tu bali na ingine na ingine na ingineeeeeeee........... isipowezekana basi lazima vita kudai maslahi ya waislam. alshaababi oye!!!, bokoharam oyeee!!!!!!

Akili zako zinahitaji marekebisho maalumu.
 
Mbona kihoro. 2015 ni mbali sana kuweni na subra.

shehe unaona 2015 ni mbali?

Mbona swahiba wako maalim seif ndiye muanzilishi wa hii slogani ya sasa ni zamu ya zanzibar, hukupata kumwambia haya maneno unayotushauri hapa?
 
Mara zam ya kina mama(migiro).mara zanziba yote ni tu awe muislam.mi nami nasema tupokezane kwa dini zetu.ni wakati wa wakristu.hata akitokea zanziba awe mkristu.nyie mafirauni mnataka mpange safu yenu ya magaidi tanzania.ona znz viongozi wote magaidi.shein kashindwa hata kumweka mkistu hata mmoja.bora garika liangamize nchi kuliko kuona tunatawaliwa na vichwa madafu

We ndio dafu kweli na hili halina ubishi. Mfumo kristo on work!
 
shehe unaona 2015 ni mbali?

Mbona swahiba wako maalim seif ndiye muanzilishi wa hii slogani ya sasa ni zamu ya zanzibar, hukupata kumwambia haya maneno unayotushauri hapa?

Kwa ushauri wangu ningeshauri sasa mmuumize vichwa katika kujikwamua kiuchumi na si kufikiria rais ajaye. Kwani Znz uchumi wao unapaa wakti wenu unadorola siku hadi siku.

Hiyo ilikuwa chngamoto kama sio angalizo.

Kuweni na subra wakti utafika tu na mtaliona sio kwa kujadili bali kivitendo.

 
Mara zam ya kina mama(migiro).mara zanziba yote ni tu awe muislam.mi nami nasema tupokezane kwa dini zetu.ni wakati wa wakristu.hata akitokea zanziba awe mkristu.nyie mafirauni mnataka mpange safu yenu ya magaidi tanzania.ona znz viongozi wote magaidi.shein kashindwa hata kumweka mkistu hata mmoja.bora garika liangamize nchi kuliko kuona tunatawaliwa na vichwa madafu



Wasitufanye sie wakristo kwa ukimya wetu na uvumilivu kuwa watu tusiofikiri kabisa. Tunawaona acha wababaike wamepanga safu hadi kwenye idara ndogo na sasa wamepenyeza agenda zao hadi sekondari wanaona sasa wameweza. Kilichobaki ni kupata rais atakaemalizia kazi yao yakufika shule za msingi na vijiji vyote. Watu badala yakuchapa kazi wanawaza nani aje aendeleze kazi yao ya uislamilization nchini
 
Inaweza kuwa na mkono wake mkuu, c unajua alivo mahiri wa kuzungumza/kufikisha ujumbe kupitia wengine?angalia hata Nape alivotumika wakati flani,angalia uvccm Pwani,, mambo kama hayo
 
nyie mnataka kuleta ujanja tu ili mkalie hiki kiti kwa mara ya tatu mfululizo kwani hayo hamkuyajua mlipokuwa mnaingia kwenye muungano,mbona kila wakidai haki sawa ndio mnakuja na hoja hizo? Kwanini ?HALI ILIYOKUWAEPO PALE AMAN JANA IMEKUWA HIVYO FOR YEARS HAIJAANZA JANA BAADA YA WAZANZIBARI KUKUMBUSHIA KWAMBA NA WAO SAFARI HII WAKALIE KIDOGO IKO KITI KWA NINI LAKINI MNATAKA KUKAA PEKEENU?

Nadhani ni jambo rahisi tu. Chama ambacho kinaridhia kuwa sasa kinaona kimweke mgombea kutoka Zanzibar kina haki na uhuru kabisa wa kufanya hivyo.

Lakini ikumbukwe kuwa sasa si kama zamani ambapo kulikuwa na chama kimoja na hivyo yeyote anayependekezwa na chama pekee ndiye anachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Kama kuna chama kinaona ni zamu ya Zanzibar, waweke mgombea toka Zanzibar, na wengine wataweka wagombea wanaowataka. Na kwa kuwa ni uchaguzi wa vyama vingi, wapiga kura wa Jamhuri ya Muungano ndio wataamua kuchagua huyo wa Zanzibar au mwingine atakayewavutia.

Kwa mantiki hii inabaki ni mambo ya ndani ya vyama, demokrasia na mchakato wao wa kupata mgombea Urais. Sidhani hata kama inahitaji kutumia muda kujadili kwa ujumla.
 
Kwa ushauri wangu ningeshauri sasa mmuumize vichwa katika kujikwamua kiuchumi na si kufikiria rais ajaye. Kwani Znz uchumi wao unapaa wakti wenu unadorola siku hadi siku.

Hiyo ilikuwa chngamoto kama sio angalizo.

H

Kuweni na subra wakti utafika tu na mtaliona sio kwa kujadili bali kivitendo.


Hiyo subra ukamshauri maalim seif, sio sisi watanganyika. Yeye kama makamu wa raisi wa nchi ya zanzibar, uraisi wa Tanganyika unamhusu nini?

Uchumi wa zanzibar umeanza kupaa tangu lini? hebu nifahamishe kwa data kama utaweza maana haya maneno makavu hayaaminiki hasa kwa mtu kama wewe.
 
Pamoja na uozo uliopo Tanganyika itamchagua mtanganyika kuiongoza kama zanzibar ilivyo! Wazanzibar wametuonyesha rangi zao bungeni, hakuna siku wamewatetea wananchi wa Tanganyika dhidi ya maovu ya serikali, waziri mwinyi anafanya experiment ya milipuko ya mabomu kwenye kambi zetu, waziri nahodha tangu aingie wizara ya ndani jeshi la polisi linakazana kuua watanganyika kila kona ya nchi hii. Hizi rekodi za wazanzibar zitahusika sana ktk kampeni za 2015... Waleteni tu, wakifanya hila kwenye kura mbinu zingine zitatumika.
 
CCM wamezoea kuwachezea Wadanganyika. This time we say NO!

Hili swala la kusema ZAMU HII NI YA WAZANZIBAR halipo kwenye Katiba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wala Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Sasa hizi longolongo za kudai ati mwaka 2015 ni zamu ya Wapemba na Waunguja inatoka wapi?

Tulishawajua CCM ndiyo mchezo wao KUCHKACHUA KURA,MAONI,KATIBA na SHERIA ZA NCHI. Tunajua watakuwa wameshajipanga tayari kwa mtu wao wanayemwandaa kwa 2015. Huu UPUUZI WA KUWACHAGULIA WATANZANIA MTU ANAYETAKIWA NA CCM na ukome kabisa.

Tunajua wanaweza kabisa kufanya hivo. Kama waliweza kumwondoa Spika SS(Sammy Sitta) Mzee wa SS(Standard and Speed) wakamweka Kigagula wao Anne Makinda watafanya hivo hivo mwaka 2015 kwa visingizio ambavyo havipo hata kwenye Katiba.UkITAZAMA KWA MAKINI picha ilishaanza kuchorwa tayari. Makamu wa 1 Dr. Bilali ni Mzanzibara, Rais wa Visiwani kwa sasa Dr. Shein ni Mzanzibara, Waziri wa Ulinzi Dr. Hussein Mwinyi ni Mzanzibara, Waziri wa Mambo ya Ndani Bwana Mdogo Nahodha ni Mzanzibara. Ukirudi nyuma utagundua kwamba watu wanaoshika NYADHIFA HIZI ndiyo huwa mara nyingi ndo wanaibuka kama Wagombea wa Urahisi kwa Tanzania Bara au Visiwani.

Tusubiri tuone. Time will gonna tell.
 
Kwa kifupi ni kwamba kama CCM watadanganyika eti ni zamu ya Zanzibar basi itakuwa ni rahisi sana kwa wapinzani wa kweli kuingia madarakani ( Kushika dola). Mungu mkuu CCM imeonyeshwa njia nzuri ya kuachia dola kwani mgombea yeyeto toka sehemu ya pili ya muungano kwa elimu ya uraia ilivyosasa kwa WATANGANYIKA ni kweli na hakika CCM watashindwa tena kwa KISHINDO.
 
Huu mjadala inabidi usubiri kukamilika kwa katiba mpya na muundo wa muungano utakaoafikiwa. Hata hivyo, harakati za Zanzibar kujidhihirisha kama nchi ilhali hatma ya Tanganyika (Tanzania bara) ikiendelea kuwa gizani ndani ya muungano huu inaondoa uwezekano wa Rais wa JMT kutoka huko (Znz). Nadhani hata mabosi wa CCM wana akili ya kutosha kuona kwamba mgombea wa Zanzibar ana nafasi finyu sana ya kukubalika katika Tanganyika ya leo.
 
Sikurupuki,nachana live nasepa.Kwa akili yenu Wazanzibari watuongoze?Kwa lipi hasa,kwamba bara hatuna mtu wa kuwa Rais,acheni kupaka mafuta kwa chupa,semeni wazi hiyo haiwezekani.Jambo moja la msingi dini ziachwe kuchanganywa kwenye hili.Mungu ni Mungu,na siasa ni siasa.Walaaniwe wote wanaotumia kivuli cha dini kupata haki ya kisiasa wanayotaka.Nasepa
 
Hakika wachangiaji wanapochangia jambo lolote la Kiislam wamekua mara zote wakiwatukana Waislam.Wanawatukana Waislam,wanachoma Qur'an Tukufu wakati Waislam hawajawahi kuchoma Biblia,wanamtukana Mtukufu Mtume(amani iwe juu yake na aali zake watoharifu) wakati Waislam wanamheshimu Yesu(amani iwe juu yake).Kwann Wakristu wanawachukia Waislam kiasi hiki.Lakini Watukanaji wanaufahamu Uislam?Wamesoma chochote kuhusu Uislam?Na kama wamesoma, wamesoma toka kwa watu sahihi au kutoka kwa maadui wa Uislam?.Mmoja kawanasibisha Waislam na uchawi,majini,ushoga,madawa ya kulevya.Je anajua anachokiandika?.Uchawi ulikuwepo tangu enzi za Nabii Musa (amani iwe juu yake) haelewi?Majini yametajwa ktk Biblia na kipo kisa cha Yesu(amani iwe juu yake) cha kutoa mapepo na kuamuru wawaingie nguruwe.Hujui hili au Waislam walikuwepo enzi za Yesu(amani iwe juu yake)?Na kuhusu ushoga wangewauliza Waanglikana labda chuki zenu zitapungua.Ni Obama na Cameroon wanaotaka 'tuoane'(Mwenyezi Apishie mbali) kwa jina la haki za binadamu.Je Watukanaji hawatumii akili?Ama madawa ya kulevya wazalishaji wakuu Mexico.Kauze madawa China,Iran au Hijaz uone cha mtema kuni.Eti utambulisho wa Waislam ni ufukara !!Ni nani amewaloga Watukanaji? Hivi wamekwenda Indonesia,Malasia.Jamhuri ya Kiislam ya Iran,Hijaz Libya Oman kwa kutaja chache sana wakauona huo ufukara?Huu wa hapa una historia yake.Nyie mnaojiita wasomi,sifa ya msomi ni kukataa ukweli?Hawaisomi historia?Na matusi ni dhihirisho la kuishiwa hoja.Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Zaidi
 
Back
Top Bottom