Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,589
- 3,639
Ni heka heka mtoni...!!
Pole sana Mjomba, Baba KIJACHO....
Ni kazi kubwa kwelikweli kusoma ingali unalea Mimba, ama mtoto..
Malezi sio swala la lelemama, ndio maana MAMA anataka uelekeze nguvu na mawazo yako kwenye UZALISHAJI/UTAFUTAJI ili uweze kumtunza MKEO mtarajiwa pamoja na mtoto wenu..
Hiyo ilikuwa ni STAREHE yako, iweje umbebeshe mzigo MAA...!!
Kwa nini hamkutumia kinga...!?
Anyway....nenda kawaeleze hili Mama wakubwa na Uncles (watu wazima) wanaweza kujua wampe ushauri upi Mama, utakao kuwa na faida kwenu nyote..
Bashite huwa anavizia OPPORTUNITY kama hizi, ili atumie Fursa kujiendeleza KIELIMU...
Pigania nafasi yako ya KUSOMA kama inawezekana...
Solution bado ni kumbembeleza mama yako atakuelewa tu.Hakika ila ndo ya shaa nikuta
Ndio adhabu ya Jamhuri yetu kwa wazazi. Je huyo bint alikuwa mwanafunzi pia?Je ulitaka nimshawishi atoe hiyo mimba?? Pia najua nilifanya kosa lakini adhabu ya kuto soma ni sahihi.. Bola ninge kuwa naanza o level but ni advance brother...
Na limebadilisha status yako kutoka mtoto kuwa baba ,hongera sana. Siku nyingine fikiria kabla ya kufanya transformation mistake.Sauwah!Sikupingi....ila maamuzi ya busala ni ya msingi kuliko maamuzi ya hasira
Kila mtu duniani anakosea.. Na mimi hili ndilo kosa langu LA kwanza...
Daaah!!!! Heshima yako
Yote imevunjwa,na uznz
Uliouendekeza
Mama anapga mahesabu
Akusomeshe na alee mimba
Yako anakuta haiwezekan
N cost kubwa sana
Sawa basi hapo ni kumuomba mama yako kwa utaratibu ajue umejua umekosa na kutubu hivyo utaitwa kwenye majadiliano kama na mtapata suluhu.Bint sio mwanafunzi