Je, hii adhabu inanifaa?

Je, hii adhabu inanifaa?

Pole sana kaka.
Ila kwakuwa ni mama yako mzazi sitosema chochote.
Ila endelea kumbembeleza naamin ni hasira tuu

Asante sana dada .. Hata ivyo ndugu na Jamaa Wa familia yetu wote wanasema ivyo.. Ngoja nisubiri itakavyo kuwa.. Japo Juma Tatu ndo masomo rasmi yanaanza daa....
 
uza minyororo hiyo uende shule maana hata pombe kasema hasomeshi wazazi

Ni kweli wewe unasema ivyo...lakini kwa faida ya baadae vipi nani atakaye simamia familia angali mimi ndiyo mtoto WA kiume kwetu... Na bola ingekuwa O LEVEL lakini ni ADVANCE
 
Sikupingi....ila maamuzi ya busala ni ya msingi kuliko maamuzi ya hasira
Kila mtu duniani anakosea.. Na mimi hili ndilo kosa langu LA kwanza...
Uko sahihi ndugu. Kinachomtatiza mama yako (kama alivyo mzazi yoyote) ni kwamba atalazimika kuwahudumia wewe na mzazi mwenzako, kwa pesa ambayo ingekusomesha. Ila cha msingi kaa nae umuombe radhi na uahidi kubadilika, ili akusaidie.
 
Hicho unacho kisema ndo icho hata ndugu na Jamaa zetu wanakipigania kwa mama.. Kwamba ni kweli nimekosea Lakin kwenda shule ni muhimu Sanaa.. Hata mimi nilimuomba msamaha lakini yupo kimya tu na Juma Tatu masomo ndiyo yanaanza
 
Wee si tozi,.haya komaa sasa,we si unapenda utamu,kupiga kavu,.unadhan wenzio tunatumia mpira tunapenda,..
 
Inakufaa sana,wewe ni baba wa familia unataka umwachie nani majukumu yako? Hatuna shule za wababa kuna za wavulana tu. Lea mimba hiyo na mtiti wa kujifungua your first born uuone, ukienda shule utatuletea mjamzito mwingine ukidai shetani kakuzowea.

SawA nimekuelewa
 
Na iwe fundisho kwa wale watakaojaribu kufanya hivyo. Uroda na shule wapi na wapi mzee?
 
Na iwe fundisho kwa wale watakaojaribu kufanya hivyo. Uroda na shule wapi na wapi mzee?

Kwani we huwa hufanyii?? Au wewe ndo unaye shawishi utoaji wa mimba.... . Kila mtu anakosea na anastairi kapewa adhabu.. Lakini unaangalia na adhabu mtu atakayo pewa.. Maana mda mwingine adhabu inaweza ikaigharimu familia nzima..
 
Wee si tozi,.haya komaa sasa,we si unapenda utamu,kupiga kavu,.unadhan wenzio tunatumia mpira tunapenda,..

Ni kweli unavyo sema... Coz sio kila siku mtu anaweza kuwa yupo sahihi.. Na hata wewe si dhani kama mda wote huwa mnatumia kinga... Kwa sasa nakubari kosa..
 
Back
Top Bottom