Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,589
- 3,639
Ni heka heka mtoni...!!
Pole sana Mjomba, Baba KIJACHO....
Ni kazi kubwa kwelikweli kusoma ingali unalea Mimba, ama mtoto..
Malezi sio swala la lelemama, ndio maana MAMA anataka uelekeze nguvu na mawazo yako kwenye UZALISHAJI/UTAFUTAJI ili uweze kumtunza MKEO mtarajiwa pamoja na mtoto wenu..
Hiyo ilikuwa ni STAREHE yako, iweje umbebeshe mzigo MAA...!!
Kwa nini hamkutumia kinga...!?
Anyway....nenda kawaeleze hili Mama wakubwa na Uncles (watu wazima) wanaweza kujua wampe ushauri upi Mama, utakao kuwa na faida kwenu nyote..
Bashite huwa anavizia OPPORTUNITY kama hizi, ili atumie Fursa kujiendeleza KIELIMU...
Pigania nafasi yako ya KUSOMA kama inawezekana...