Ngoja Wa-Iran wa Kwa Mtogole wakusikie uone utavyoparamiwa kwa matusi hapa kama mpira wa kona.Una uhakika hao Hezibollah bado wana makombora? Kuuliwa kwa yule kamanda wao mtata Nasrallah lilikuwa pigo kubwa maana jamaa alikuwa hapoi.
Ila Israeli na Mossad yao dah! Walivyompata mpaka Nasrallah walishangaza wengi maana jamaa alikuwa amejiaminisha kuwa ni invincible....
Iran anajitosheleza kuiadhibu mayahudi tel aviv gey heaven imeshaaza kuteuka magofu.Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao ndo wataacha.
Hivo kwa vyovyote vile wasingekaa kimya baada ya kuona "BOSS" wao iran akichezea kichapo kutoka IDF. Nashangaa hadi sasa sijasikia wakisema wamerusha kombora lolote kuelekea Isrel.
Nauliza Je? Hezbolah kwa sasa wako wapi? naombeni wadau mnisaidie kwa hilo
Asante
Una uhakika hao Hezibollah bado wana makombora? Kuuliwa kwa yule kamanda wao mtata Nasrallah lilikuwa pigo kubwa maana jamaa alikuwa hapoi.
Ila Israeli na Mossad yao dah! Walivyompata mpaka Nasrallah walishangaza wengi maana jamaa alikuwa amejiaminisha kuwa ni invincible....
Hawa Mossad washenzi sana hawa. Kumbe makomandoo wake walishaingia Iran muda mrefu na silaha. Kuna drones zinarushwa kutokea ndani ya Iran kuipiga Iran humo humo. Ukizidiwa kwenye intelligence aisee napo ni shida!Mimi hawa Wayahudi nimewashindwa hawafai kabisa. Wakikutaka kwa nia moja hawakukosi. Utaruka ruka utajaa kwenye mfumo. Israel akili nyingi walianza na wadogo kwanza kisha wanamalizia na anayewatuma.
Hawa Mossad washenzi sana hawa. Kumbe makomandoo wake walishaingia Iran muda mrefu na silaha. Kuna drones zinarushwa kutokea ndani ya Iran kuipiga Iran humo humo. Ukizidiwa kwenye intelligence aisee napo ni shida!
View attachment 3369518View attachment 3369519
Wala hatukanwi mtu, sasa ni mwendo wa link tu.Ngoja Wa-Iran wa Kwa Mtogole wakusikie uone utavyoparamiwa kwa matusi hapa kama mpira wa kona.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Israel ni hatari sana Mzee Baba, chukulia kabla hajaenda kuipiga Iran alishaitahadharisha wiki 1 kabla kuwa Iran ikae mkao wa kichapo lakini Iran haikumzuia Israel na ilitekeleza ahadi yake ya vita vile vile ilivyopanga duuuh!...?Hawa Mossad washenzi sana hawa. Kumbe makomandoo wake walishaingia Iran muda mrefu na silaha. Kuna drones zinarushwa kutokea ndani ya Iran kuipiga Iran humo humo. Ukizidiwa kwenye intelligence aisee napo ni shida!
View attachment 3369518View attachment 3369519
Nguruwe hawa ,wanajutaWala hatukanwi mtu, sasa ni mwendo wa link tu.
View: https://x.com/MonitorX99800/status/1934172583911383524
Mossad waliandaa shughuli miezi zaidi ya 18.Washenzi hao waliweka vituo humo humo ndani ya Iran kwa muda sana . Wamepiga pia wakiwa ndani ya Iran
angekua ana jeuri hiyo wakuu wake wa jeshi na wanasayansi wake wasingeuliwa kama kukuIran anajitosheleza kuiadhibu mayahudi tel aviv gey heaven imeshaaza kuteuka magofu.
hakuna airdefence ambayo iko perfect 100% kama tuu drone zinapenya kwenye airdefense za urusi ambazo ndizo bora duniani je iron dome ni nini hadi misile zisiweze kupenya?Marekani yuko wapi kumsaidia swahiba waje Israel?
Maana ile michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote
Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi
ndege sa israel zinajaza mafuta kwenye anga la iran yani sasa hivi wameshapafanya iran kama sebuleni kwao je iran si alikua hapa anajitapa anazo airdefense bora zaidi duniani sasa ziko wapi?Marekani yuko wapi kumsaidia shoga yake Israel?
Maana michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote
Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi kila kona ya Israel