Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bukanga, Apr 30, 2012.

 1. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.
  [​IMG]
  Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao.


  [​IMG]
  Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.
  [​IMG]
  . Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao.
  [​IMG]
  Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi.
  [​IMG]
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma
   
 2. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wangekuwa ni wa chadema hawa wangeshafukuzwa chuo
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Sinema za CCM hizo
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni aibu kwa vijana wetu wa vyuo vikuu. Hata ujumbe wao hauna mashiko kabisa.
  Sasa nape atawasaidia nini??
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Ccm imeishiwa mbinu kabisa!
  Sasa haya maandamano ya kwenye marking lot ya ofisi ya ccm ya watu kumi na moja maana yake nini!!

  Wanashinikiza nini hawa??
  Akili za bata hizi, kula uchafu lazima uharishe tu!!
   
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,788
  Likes Received: 36,788
  Trophy Points: 280
  ukisoma kwa makini hayo mabango yameandikwa na mtu mmoja.
  Then kama ni maandamano ya kumpongeza JK na CCM yake mbona waandamanaji hao wamekua na sura za unyonge kama vile hawapendi hili jambo wanalolifanya????
   
 7. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Halafu mbona wamechoka sana, BOOM imeisha nini??
   
 8. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hilo kofia la nape ni zuri sana kuzuia jua, najua kwanini analivaa!!
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Njaa haimpendezi mtu
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Vyuo vikuu maana yake ni chuo zaidi ya kimoja kama hiyo ndio maana yake basi ni wachache sana.......#mtazamo.
   
 11. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watakuwa wote hao wameshapewa hela hapo
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,592
  Likes Received: 4,697
  Trophy Points: 280
  Halafu mbona wanaonekana kama vibwengo?
   
 13. M

  Molemo JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  [h=3][​IMG][/h]Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea Vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma.
  [​IMG]
  Nape akisoma ujumbe kwenye moja ya mabango waliyofika nayo wanafuvyo hao.


  [​IMG]
  Wanavyuo wakionyesha bango la kuwataka wasaidizi wa Rais kuwajibika inapobidi.
  [​IMG]
  . Nape akisoma ujumbe uliloonyesha kumvutia zaidi kwenye moja ya mabango ya wanavyuo hao.
  [​IMG]
  Vijana hao wakionyesha bango lenye ujumbe mahsusi kuhusu maana ya Mapinduzi.
  [​IMG]
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na vijana wa Shirikisho la CCM la vijana wa CCM wlioko vyuo vya Elimu ya Juu, walipofika leo kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Dar es Salaam, kumfikishia ujumbe wao kuhusu mawaziri na watumishi wa serikali wanaotuhumiwa kuhusika na upotefu wa fedha za umma

  Source:Mjengwa blog
   
 14. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Waganga njaa watupu! Huyo bibi picha ya kwanza nyuma ya Nape, si angetumia weekend yake kukaa na Wajukuu tu badala ya kwenda kupoteza muda wake kufanya mambo ya kijinga!
   
 15. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maandamano ya kutengenezwa.
   
 16. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mbona kama vile mwandiko wa mabango yote ni kama unafanana!??
  Ama kweli, "ndio maana Kenya wanatudharau"
   
 17. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Hayo yalikuwa maandamano ya kwenda msibani? Mbona wanaonekana wana sura za huzuni!
   
 18. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  waandamanaji wenyewe wako wapi? Mbona hawazidi hata kumi. Naona ni kakikundi tu kadogo kawatu kalikobeba mabango. hii sasa aibu bora wasingepublicize, maana tuna uhakika wangekuwa wa CHADEMA hata pa kukanyaga pasingekuwepo.
   
 19. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  njaa balaa...hata yule renatus mkinga aliyekuwa anawacheka wanafunzi/vijana wa udom kuwa sasa wanasoma kwenye giza totoro(kipindi cha mgao wa umeme) baada kuichagua ccm naye sasa amekuwa vuvuzela la ccm kama hawa misukule tunaowaona...!
   
 20. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ni maandamano makubwa sana ya wanavyuo kuwahi kutokea yakiunga mkono juhudi za jk,umati unatosha kabisa,ona vijana walivyojazana,viva ccm,viva magamba,hongereni wanavyuo kwa ujasiri wenu wa kufanywa wapiga debe wa bei nafuu
   
Loading...